Menyu

TIPS OF THE WEEK 11.09.2021 (Manchester United vs Newcastle)

| 07.09.2021
TIPS OF THE WEEK 11.09.2021 (Manchester United vs Newcastle)

Manchester United vs Newcastle

  • Mashetani wekundu watakua nyumbani katika dimba la Old Trafford wakiikaribisha Newcastle United katika mwendelezo wa mechi za ligi kuu za EPL. Mchezo utachezwa Jumamosi hii 11.09.2021 majira ya saa 11:00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki, Mpaka sasa Man U hawajapoteza ata mchezo mmoja tangu kuanza kwa ligi na wanashika nafasi 3 katika msimamo huku Newcastle wao wakiwa nafasi ya 17 huku hajashinda ata mchezo mmoja. 

  • Tuangaze katika michezo ya head-to-head waliyokutana baina ya timu hizi mbali kwa misimu miwli (2) ya hivi karibuni, katika michezo 5 waliocheza Man United wana rekodi nzuri dhidi ya Newcastle ambapo wamechinda mechi 4 na mechi moja wakishinda Newcastle. Kulingana na takwimu zetu kwenye mchezo huu Man united wamepewa 88% ya kupata matokeo chanya ya mchezo huu dhidi ya 22% ya Newcastle.

  • Katika michezo 5 ya hivi karibuni waliocheza hivi karibuni katika mechi za ligi na michuano mbalimbali, Manchester United wameshinda mechi 3, sare 1 na mechi 1 kuahirishwa huku Newcastle United wakishinda mechi 1, wamepoteza mechi 2, na kupata sare mechi 2. Je unatarajia kumuona mnyama CR7 katika mechi hii tangu arudi nyumbani Man United??

  • Ushauri wetu katika mechi hii ni Manchester united watashinda. 

Kwa takwimu zaidi kuhusu mechi hii, dondoo na vidokezo mbalimbali, odds na utabiri wa bure kabisa bofya https://tanzaniatips.com/predictions/id2348-Manchester-United-vs-Newcastle-11-09-2021

Washirika wakuu

WinPrincess
Best Bonus In Tanzania Bonasi ya ukaribisho

150% BONASI!

Premier Bet
Best Value Bonasi ya ukaribisho

Win Up To 250% Extra In CASH!

PariMatch
Best New Bookmaker 2021 Bonasi ya ukaribisho

PATA BONASI YA KIPEKEE YA
100% PINDI UNAPOWEKA PESA
KWA MARA YA KWANZA

22Bet
Bonasi ya ukaribisho

Get a 100% bonus up to TSZ 300 000

Meridian Bet
Bonasi ya ukaribisho

Rudisha Sehemu Ya Tiketi Iliyoshindwa!

Makala zinazohusiana

Comments

No comments yet

Leave a comment

Thank you!

Thank you for your comment!

It will be published after being moderated