Menyu

TIPS OF THE DAY 24.08.2021 (PSV Eindhoven vs Benfica)

| 24.08.2021
TIPS OF THE DAY 24.08.2021 (PSV Eindhoven vs Benfica)

PSV Eindhoven vs Benfica

  • Jumanne ya leo kwenye UEFA champions league PSV Eindhoven wana kazi ya kufanya dhidi ya Benfica katika mechi ya mchujo (play-off) ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya mchezo wa kwanza kupoteza kwa goli 2-1. Mechi hii itachezwa katika uwanja wa Philips Stadion (Eindhoven) majira ya saa 4 usiku kwa saa za Afrika Mashariki, PSV Eindhoven mara ya mwisho alicheza katika hatua ya makundi ya UEFA Champions League msimu wa 2018/19 walipomaliza nafasi ya chini ya kundi lao.

  • Hii itakua mechi ya tano kati ya pande hizo mbili kukutana head-to-head huku Benfica wana rekodi nzuri kidogo dhidi ya wenyeji wao, katika mechi 4 zilizopita walishinda mara mbili, PSV imeshinda ushindi mmoja, wakati na mechi 1 kuisha kwa sare. Michezo minne iliyopita kati ya pande hizo tulishuhudia timu zote kufunga mabao zaidi ya 2.5 kwenye kila mechi. 

  • Katika mechi 5 za hivi karibuni walizocheza baina ya timu zote mbili dhidi ya timu nyingine katika michuano mbalimbali, PSV Eindhoven imeshinda mechi zote 5 bila kupoteza hata moja huku Benfica nao wakishinda meci 4 na moja kuishia kwa sare. Mechi hii itaamua ni timu gani itacheza katika hatua ya makundi, kwa hivyo wacha tuangalie kwa karibu mechi hiyo na kile tunachoweza kutarajia kutoka kwake.

  • Ushauri wetu katika mechi hii ni PSV Eindhoven itapata magoli chini ya 3.5 ndani ya 90.

Kwa takwimu zaidi kuhusu mechi hii, dondoo na vidokezo mbalimbali, odds na utabiri wa bure kabisa bofya https://tanzaniatips.com/predictions/id2267-PSV-Eindhoven-vs-Benfica-24-08-2021.

PariMatch Tanzania homepage

Washirika wakuu

WinPrincess
Best Bonus In Tanzania Bonasi ya ukaribisho

150% BONASI!

Premier Bet
Best Value Bonasi ya ukaribisho

Win Up To 250% Extra In CASH!

PariMatch
Best New Bookmaker 2021 Bonasi ya ukaribisho

PATA BONASI YA KIPEKEE YA
100% PINDI UNAPOWEKA PESA
KWA MARA YA KWANZA

22Bet
Bonasi ya ukaribisho

Get a 100% bonus up to TSZ 300 000

Meridian Bet
Bonasi ya ukaribisho

Rudisha Sehemu Ya Tiketi Iliyoshindwa!

Makala zinazohusiana

Comments

No comments yet

Leave a comment

Thank you!

Thank you for your comment!

It will be published after being moderated