Menyu

TIPS OF THE WEEK 20.08.2021 (RB Leipzig vs VfB Stuttgart)

| 18.08.2021
TIPS OF THE WEEK 20.08.2021 (RB Leipzig vs VfB Stuttgart)

RB Leipzig vs VfB Stuttgart

  • Wiki hii Bundesliga inaendelea tena huko nchini Ujerumani pale RB Leipzig watakapoikaribisha VfB Stuttgart nyumbani katika dimba la Red Bull Arena, mechi hii itachezwa saa 2:30 usiku. Ikumbukwe kwamba Leipzig walipoteza mechi ya 1 dhidi ya Mainz goli 1 kwa bila huku wenyeji wao VfB Stuttgart walishinda goli 5 kwa 1 dhidi ya Furth na kuwaweka kileleni mwa msimamo wa ligi.

  • Katika mechi 5 za mwisho za head-to-head walizokutana baina ya timu hizi kwa misimu 3 iliyopita, Leipzig walishinda mechi 4 bila kupoteza hata 1 na mechi moja iliishia kwa sare ya 0-0. Takwimu zinawabeba Leipzig katika mechi za h2h kila wanapokutana na VfB wameshinda mechi zote bila kupoteza kwa mismu kadhaa.

  • Tuangazie mechi tano za mwisho kila timu kucheza na timu zingine mbalimbali kwenye michuano ya kimataifa na ligi hivi karibuni kwa msimu uliopita na huu mpya, RB Leipzig wameshinda mechi 1, wamepoteza 2 na kupata sare 2 huku Stuttgart wakishinda mechi 4 na kupoteza 1. Tunatarajia kuona mchuano wa aina yake je Stuttgart wataweza kuendeleza mwanzo mzuri tangu ligi kuanza au ndio watakua underdog dhidi ya Leipzig?

  • Ushauri wetu katika mechi hii ni RB Leipzig watashidna au mechi kuisha kwa sare.

Kwa takwimu zaidi kuhusu mechi hii, dondoo na vidokezo mbalimbali, odds na utabiri wa bure kabisa bofya https://tanzaniatips.com/predictions/id2237-RB-Leipzig-vs-VfB-Stuttgart-20-08-2021

PariMatch Tanzania homepage

Washirika wakuu

WinPrincess
Best Bonus In Tanzania Bonasi ya ukaribisho

150% BONASI!

Premier Bet
Best Value Bonasi ya ukaribisho

Win Up To 250% Extra In CASH!

PariMatch
Best New Bookmaker 2021 Bonasi ya ukaribisho

PATA BONASI YA KIPEKEE YA
100% PINDI UNAPOWEKA PESA
KWA MARA YA KWANZA

22Bet
Bonasi ya ukaribisho

Get a 100% bonus up to TSZ 300 000

Meridian Bet
Bonasi ya ukaribisho

Rudisha Sehemu Ya Tiketi Iliyoshindwa!

Makala zinazohusiana

Comments

No comments yet

Leave a comment

Thank you!

Thank you for your comment!

It will be published after being moderated