Menyu

TIPS OF THE WEEK 11.08.2021 (Manchester City vs Norwich)

| 16.08.2021
TIPS OF THE WEEK 11.08.2021 (Manchester City vs Norwich)

Manchester City vs Norwich

  • Baada ya Man City kupoteza katika mchezo wa 1 wa ligi kuu nchini uingereza wiki iliyopita dhidi ya Tottenham Hotspurs kwa goli 1 bila, wiki hii City wataikairibisha Norwich City katika dimba la Etihad Jumamosi saa 11:00 jioni. Licha ya City kupoteza mechi hiyo Norwich nao pia walipoteza mchezo wa 1 dhidi ya Liverpool kwa goli 3 - 0.

  • Katika michezo 5 za mwisho za head-to-head waliyokutana baina ya timu hizi kwa misimu iliyopita hivi karibuni mnamo msimu wa 2015/16 mpaka 2019/20, Man City walishinda michezo 4 huku mchezo 1 kuisha kwa sare. Baina ya michezo yote hiyo ya h2h waliokutana wameweza kuzalisha zaidi ya magoli 15 kwa timu zote 2.

  • Kabla ya msimu kuanza timu zote zilicheza baadhi ya michezo kwenye michuano mbalimbali ikiwemo ya msimu uliopita, katika mechi tano walizocheza hivi karibuni baina ya timu hizi dhidi ya timu nyingine, Man City wameshinda mechi 2 na kupoteza 3 huku Norwich wakishinda mechi 1, wamepoteza 2 na 2 kuahirishwa. Wote wameanza msimu vibaya kwa mechi zao za ufunguzi, je nani ataianza safari ya ushindi wiki hii?

  • Ushauri wetu katika mechi hii ni Man City watashinda au mechi kuisha kwa sare.

Kwa takwimu zaidi kuhusu mechi hii, dondoo na vidokezo mbalimbali, odds na utabiri wa bure kabisa bofya https://tanzaniatips.com/predictions/id2222-Manchester-City-vs-Norwich-21-08-2021

PariMacth Tanzania homepage

Washirika wakuu

WinPrincess
Best Bonus In Tanzania Bonasi ya ukaribisho

150% BONASI!

Premier Bet
Best Value Bonasi ya ukaribisho

Win Up To 250% Extra In CASH!

PariMatch
Best New Bookmaker 2021 Bonasi ya ukaribisho

PATA BONASI YA KIPEKEE YA
100% PINDI UNAPOWEKA PESA
KWA MARA YA KWANZA

22Bet
Bonasi ya ukaribisho

Get a 100% bonus up to TSZ 300 000

Meridian Bet
Bonasi ya ukaribisho

Rudisha Sehemu Ya Tiketi Iliyoshindwa!

Makala zinazohusiana

Comments

No comments yet

Leave a comment

Thank you!

Thank you for your comment!

It will be published after being moderated