Menyu

TIPS OF THE WEEK 11.07.2021 FINAL "EURO 2020" (ITALY VS. ENGLAND)

| 09.07.2021
TIPS OF THE WEEK 11.07.2021 FINAL "EURO 2020" (ITALY VS. ENGLAND)

Italy vs. England

  • England dhidi ya Italia, fainali ya Euro 2020: Italia na England zitachuana katika fainali ya EURO 2020 kwenye Uwanja wa Wembley Jumapili, Julai 11, kuanza saa 4:00 Usiku kwa saa za Afrika Mashariki. Kulingana na takwimu zetu dhidi ya mchezo huu, timu zote zina 50% ya kutawala mchezo na kupata matokeo chanya. Italia iliishinda Hispania kwa mikwaju ya penati baada ya sare ya muda wa ziada; wakati huo huo, England pia iliifunga Denmark 2-1 katika hatua ya nusu Fainali.

  • Katika michezo mitatu ya mwisho ya head-to-head kati ya timu hizi walivyokutana katika msimu uliopita katika mashindano ya kimataifa na michezo ya kirafiki, Italia ilishinda mechi 1, na 2 zilimalizika kwa sare. Tunatarajia England na Italia kutupa burudani nzuri na yenye ushindani wa hali ya juu ingawa ni ngumu kuchagua mshindi wazi wa moja kwa moja kwani mchezo 50/50.

  • Michezo mitano iliyopita iliyochezwa na timu zote dhidi ya timu zingine kwenye mashindano, Italy ilishinda mechi 4, na mchezo 1 uliisha kwa sare wakati England pia ilishinda 4, na 1 ilimalizika kwa sare. Tutafurahi kuona jinsi hii inakwenda; ikiwa na nafasi nzuri ya timu zote kushinda taji, utakuwa mchezo mzuri sana na mgumu kushuhudia.

  • Ushauri wetu katika mchezo huu Italy watashinda au mechi kuisha kwa sare.

Kwa takwimu zaidi kuhusu mechi hii, dondoo na vidokezo mbalimbali, odds na utabiri wa bure kabisa bofya https://tanzaniatips.com/predictions/id2178-Italy-vs-England-11-07-2021

PariMatch Tanzania homepage

Washirika wakuu

WinPrincess
Best Bonus In Tanzania Bonasi ya ukaribisho

150% BONASI!

Premier Bet
Best Value Bonasi ya ukaribisho

Win Up To 250% Extra In CASH!

PariMatch
Best New Bookmaker 2021 Bonasi ya ukaribisho

PATA BONASI YA KIPEKEE YA
100% PINDI UNAPOWEKA PESA
KWA MARA YA KWANZA

22Bet
Bonasi ya ukaribisho

Get a 100% bonus up to TSZ 300 000

Meridian Bet
Bonasi ya ukaribisho

Rudisha Sehemu Ya Tiketi Iliyoshindwa!

Makala zinazohusiana

Comments

No comments yet

Leave a comment

Thank you!

Thank you for your comment!

It will be published after being moderated