Menyu

TIPS OF THE WEEK 06.07.2021 EURO 2020 (ITALY VS. SPAIN)

| 05.07.2021
TIPS OF THE WEEK 06.07.2021 EURO 2020 (ITALY VS. SPAIN)

Italy vs Spain

  • Nusu fainali ya UEFA Euro 2020 itaonyeshwa moja kwa moja wiki hii, tarehe 6 Julai Miamba miwili itakutana kwenye Uwanja wa Wembley katika pambano kati ya Italia dhidi ya Hispania, mchezo utachezwa saa 04:00 Usiku kwa saa za Afrika Mashariki. Italia iliiondoa Ubelgiji na kutinga hatua ya nusu fainali; wakati huo huo, Hispania iliiondoa Uswizi kwa mikwaju ya penati baada ya kwenda mpaka muda wa nyongeza. Miamba hii miwili imeonekana ikifanya vizuri msimu huu kwenye michuano hii na tunatarajia kushuhudia mchezo mzuri ambao mmoja wapo atafikia fainali za Euro 2020.
  • Kutokana na takwimu zetu kulingana na mchezo huu, Italia ina 63% ya kutawala mchezo huu kwa sababu ya kiwango bora walichokionesha tangu mechi ya ufunguzi mpaka Robo Fainali, wakati huo huo Hispania ina 37%. Katika mapambano yao matano ya mwisho ya head-to-head kati ya timu hizi katika mashindano ya kimataifa walivyokutana hivi karibuni, Italia ilishinda mchezo 1. Hispania ilishinda mechi 2 na 2 zilizoisha kwa sare.
  • Katika michezo 5 ya mwisho iliyochezwa na timu zote dhidi ya zingine kwenye mashindano haya ya EURO 2020, Italia hajafungwa na alishinda michezo yote mitano wakati Uhispania ilishinda michezo 3 na 2 ilimalizika kwa sare. Italia ndio timu pekee kushinda mechi zao zote kwenye UEFA Euro 2020; Hispania pia imekua na matarajio makubwa mwaka huu na ina matokeo mazuri kwenye hii ichuano.
  • Ushauri wetu katika mchezo huu ni Italia kushinda, au mechi inaisha kwa sare.

Kwa takwimu zaidi kuhusu mechi hii, dondoo na vidokezo mbalimbali, odds na utabiri wa bure kabisa bofya https://tanzaniatips.com/predictions/id2176-Italy-vs-Spain-06-07-2021

PM Bet Tanzania hompeage

Washirika wakuu

WinPrincess
Best Bonus In Tanzania Bonasi ya ukaribisho

150% BONASI!

Premier Bet
Best Value Bonasi ya ukaribisho

Win Up To 250% Extra In CASH!

PariMatch
Best New Bookmaker 2021 Bonasi ya ukaribisho

PATA BONASI YA KIPEKEE YA
100% PINDI UNAPOWEKA PESA
KWA MARA YA KWANZA

22Bet
Bonasi ya ukaribisho

Get a 100% bonus up to TSZ 300 000

Meridian Bet
Bonasi ya ukaribisho

Rudisha Sehemu Ya Tiketi Iliyoshindwa!

Makala zinazohusiana

Comments

No comments yet

Leave a comment

Thank you!

Thank you for your comment!

It will be published after being moderated