Menyu

TIPS OF THE WEEK 29.06.2021 EURO 2020 (England vs Germany)

| 29.06.2021
TIPS OF THE WEEK 29.06.2021 EURO 2020 (England vs Germany)

England vs Germany

  • Haya hayaa usiku wa deni haukawii kucha, hatimae vigogo wawili wakutana rasmi katika hatua ya mtoano ya 16 bora kwenye michuano hii ya EURO 2020, mechi hii itachezwa majira ya saa 4 usiku katika dimba la Wembley. Ni moja kati ya mechi kubwa iliyokua inasubiriwa kwa hamu kutoka kundi la kifo hivyo macho yote kushuhudia ni mkubwa gani ataungana na Ufaransa kuyaaga mashindano haya  msimu huu.

  • Katika mechi za head-to-head walizokutana baina ya timu hizi misimu ya hivi karibuni, 2010 na 2017 kwenye mechi 3 za mwisho, Germany wameshinda mechi 2 huku mechi 1 ikisha kwa sare. Ingawa England inapewa nafasi kubwa na kua kipenzi cha wachambuzi na mashabiki wengi kwa kuanza vizuri kwenye michuano hii lakini wanajua wazi kabisa haitakua rahisi kufudhu hatua hii kwakua wapinzani wao wapo vizuri pia na wazoefu wa michuano hii.

  • Takwimu za mechi 5 walizocheza hivi karibuni baina ya timu hizi 2 na timu nyingine mbalimbali kwenye michuano ya kimataifa na ya kirafiki, England wameshinda mechi 4 na moja kupata sare huku Germany wakishinda mechi 2, wamepoteza 1 na mechi 2 kuisha kwa sare. Hakika utakua mchezo wa ushindani mkubwa na wenye kuvutia kutoka pande zote mbili, Je ni nani atayaaga mashindano haya?

  • Ushauri wetu katika mechi hii ni England itashinda au mechi itaisha kwa sare.

Kwa takwimu zaidi kuhusu mechi hii, dondoo na vidokezo mbalimbali, odds na utabiri wa bure kabisa bofya https://tanzaniatips.com/predictions/id2170-England-vs-Germany-29-06-2021

PariMatch Tanzania

Washirika wakuu

WinPrincess
Best Bonus In Tanzania Bonasi ya ukaribisho

150% BONASI!

Premier Bet
Best Value Bonasi ya ukaribisho

Win Up To 250% Extra In CASH!

PariMatch
Best New Bookmaker 2021 Bonasi ya ukaribisho

PATA BONASI YA KIPEKEE YA
100% PINDI UNAPOWEKA PESA
KWA MARA YA KWANZA

22Bet
Bonasi ya ukaribisho

Get a 100% bonus up to TSZ 300 000

Meridian Bet
Bonasi ya ukaribisho

Rudisha Sehemu Ya Tiketi Iliyoshindwa!

Makala zinazohusiana

Comments

No comments yet

Leave a comment

Thank you!

Thank you for your comment!

It will be published after being moderated