Menyu

TIPS OF THE WEEK 23.06.2021 EURO 2020 (Germany vs Hungary)

| 23.06.2021
TIPS OF THE WEEK 23.06.2021 EURO 2020 (Germany vs Hungary)

Germany vs Hungary

  • Leo michuano ya EURO 2020 inaendelea kwa mechi za mwisho za hatua ya makundi, katika dimba la Allianz Arena Ujerumani kama inavyoaminika kundi la kifo kundi F, Ujerumani wataikaribisha Hungary majira ya saa 4 usiku. Ujerumani walianza vibaya michuano hii na hatimae kufanya vizuri kwenye mechi zilizofatia na kuwafanya kushika nafasi ya pili kwenye kundi wakiongozwa na Ufaransa.

  • Kuelekea kwenye mechi hii Ujerumani wanapewa nafasi kubwa na kuibuka washindi kwakua na kiwango kizuri walichokionesha hivi karibuni kuelekea kwenye hatua ya mtoano kwenye michuano hii. Rekodi zinaonesha kwamba Ujerumani imekua ikifanya vizuri dhidi ya Hungary pindi wanapokutana kwenye head-to-head, katika mechi nne zilizopita Ujerumani ilishinda mechi 3 dhidi ya Hungary.

  • Kwenye mechi 5 walizocheza hivi karibuni kwa timu zote mbili na timu nyingine katika michuano mbalimbali ya kimataifa ikiwemo na hii ya EURO 2020, Ujerumani walishinda mechi 2, wamepoteza mechi 2 na kupata sare 1 huku Hungary wakishinda mechi 2, kupoteza 1 na sare moja. Kwavile hili ni kundi la kifo na lolote linaweza kutokea tunategmea utakua mchuano wa kuvutia na wenye ushindani sana kwakua kila timu itahitaji matokeo kuelekea hatua inayofata.

  • Ushauri wetu katika mechi hii ni Ujerumani watashinda.

Kwa takwimu zaidi kuhusu mechi hii, dondoo na vidokezo mbalimbali, odds na utabiri wa bure kabisa bofya https://tanzaniatips.com/predictions/id2163-Germany-vs-Hungary-23-06-2021

PariMatch Tanzania homepage

Washirika wakuu

WinPrincess
Best Bonus In Tanzania Bonasi ya ukaribisho

150% BONASI!

Premier Bet
Best Value Bonasi ya ukaribisho

Win Up To 250% Extra In CASH!

PariMatch
Best New Bookmaker 2021 Bonasi ya ukaribisho

PATA BONASI YA KIPEKEE YA
100% PINDI UNAPOWEKA PESA
KWA MARA YA KWANZA

22Bet
Bonasi ya ukaribisho

Get a 100% bonus up to TSZ 300 000

Meridian Bet
Bonasi ya ukaribisho

Rudisha Sehemu Ya Tiketi Iliyoshindwa!

Makala zinazohusiana

Comments

No comments yet

Leave a comment

Thank you!

Thank you for your comment!

It will be published after being moderated