Menyu

IJUE KAMPUNI YA KUBETI INAYOLIPA DAU KUBWA LA USHINDI

| 22.06.2021
IJUE KAMPUNI YA KUBETI INAYOLIPA DAU KUBWA LA USHINDI

IJUE KAMPUNI YA KUBETI INAYOLIPA DAU KUBWA LA USHINDI.

Katika nchi yetu tuna makampuni mengi sana ya kubeti ila yapo baadhi ya makampuni ulipa dau nono kwa wabashiri hivyo kujitengenezea idadi kubwa ya wadau wanao tumia makampuni hayo katika kubeti michezo inayochezwa ligi mbalimbali. Moja ya Makampuni hayo ni Sportpesa, parimatch, Meridian, Premier pamoja na Princess bet n.k ni kampuni ambazo zimesajiliwa kisheria nchini Tanzania kuendesha biashara ya kubashiri mpira wa miguu na michezo mingine mbalimbali. 

Licha ya Kampuni hizi kuajiri watu wengi na kulipa kodi serikalini kwa kawaida kodi za michezo ya kubashiri huwa ni asilimia 18% mpaka 20%. Kwa ujumla makampuni karibu yote yanalipa vizuri,  Kampuni tajwa hapo juu ni kampuni za kimataifa katika ubashiri wa mpira na michezo mingine zikiwa na matawi yake hapa Tanzania. Makampuni  haya yamejikita zaidi katika kujitanga na kuongeza dau zuri hivyo watu wengi wanao bashiri uyatumia makampuni haya pendwa na yenye uhakika katika kufanya miamala ya malipo pale mbashiri anapo shinda hata kama dau aliloweka ni kubwa.

Kampuni ya SportPesa ndio kampuni ilifanikiwa kutoa udhamini kwa timu baadhi zinazoshiriki ligi kuu Tanzania zikiwemo timu kongwe zenye idadi kubwa ya mashabiki Simba na Yanga. Kupitia kuzidhamini timu hizi imesaidia sana kujitangaza na kuifanya ijulikane sana nchini Tanzania. Kampuni hii haina longolongo au ubabaishaji linapokuja suala la malipo Sports pesa imejijengea uaminifu mkubwa sana linapokuja kwenye suala la malipo.

Sports pesa inalipa kwa haraka sana punde tu unaposhinda bet yako na mara tu unaposhinda Njia ya malipo ni rahisi sana huhitajiki kwenda ofisini kwao, Wanamalipo kwa njia ya mtandao wa simu njia ambayo ni rahisi kutoa pesa hata kwa watu waliopo vijijini. Hii huwafanya watu wengi kupenda kuitumia kampuni hii maana wamejenga sana uaminifu kwa wananchi.

SportPesa Tanzania

Katika kampuni hizi wamejiimarisha zaidi kwa kuwa na timu ya watumishi ambao wapo tayari kukuhudumia unapokuwa na tatizo, hakika zimejitahidi sana katika huduma kwa wateja. Wana namba za simu ambazo muda wote zipo wazi kutoa msaada kwa wateja wao pindi watakapopata tatizo, Mtu anaweza kuwa na tatizo la kimuamala na akatatuliwa tatizo lake na akaridhika.

Uwekezaji uliofanya na makampuni haya  wamewekeza mabilioni ya Shilingi katika kufanikisha biashara hii Kwa namna uwekezaji walioufanya kwenye suala la malipo hakuna ubabaishaji.  Kweli isiyo na shaka wamefanya uwekezaji mkubwa na kutengeneza mkwanja zaidi.

Licha ya kua na changamoto ya ulipaji wa miamala kwa wateja walioshinda bashiri zao kwa baadhi ya makampuni, Sportpesa imeaminika kwa kulipa vizuri na haraka malipo yao huku ikitajwa kuwa inalipa dau kubwa kulingana na ubora wa odds zao katika mechi inayo bashiriwa.

 PariMatch Tanzania homepage

Washirika wakuu

WinPrincess
Best Bonus In Tanzania Bonasi ya ukaribisho

150% BONASI!

Premier Bet
Best Value Bonasi ya ukaribisho

Win Up To 250% Extra In CASH!

PariMatch
Best New Bookmaker 2021 Bonasi ya ukaribisho

PATA BONASI YA KIPEKEE YA
100% PINDI UNAPOWEKA PESA
KWA MARA YA KWANZA

22Bet
Bonasi ya ukaribisho

Get a 100% bonus up to TSZ 300 000

Meridian Bet
Bonasi ya ukaribisho

Rudisha Sehemu Ya Tiketi Iliyoshindwa!

Makala zinazohusiana

Comments

No comments yet

Leave a comment

Thank you!

Thank you for your comment!

It will be published after being moderated