Menyu

TIPS OF THE WEEK 22.06.2021 EURO 2020 (Czech Republic vs England)

| 22.06.2021
TIPS OF THE WEEK 22.06.2021 EURO 2020 (Czech Republic vs England)

Czech Republic vs England

  • Leo katika dimba la Wembley stadium usiku wa saa 4 michuano ya EURO 2020 itaendelea na itawakutanisha wababe wa kundi D Czech Republic dhidi ya England. Wote wakiwa na alama sawa katika kundi lao Czech Republic wakiwa juu kwa tofauti ya magoli dhidi ya England, mbio za kuelekea hatua ya mtoano timu hizi zinatarajiwa kufudhu hatua hiyo baada ya mechi hizi za mzunguko.

  • Mala ya mwisho timu hizi kukutana head-to-head mnamo mwaka 2019 kwenye michuano hii ya Euro, Czech walishinda mechi moja na England walishinda mechi moja pia. Kulingana na uzito wa mechi hii takwimu zetu zimeipa nafasi ya 57% kushinda mechi hii huku wenyeji Czech wakiwa na 43%.

  • Takwimu za mechi 5 walizocheza hivi karibuni baina ya timu zote dhidi ya timu nyingine kwenye michuano ya kimataifa, Czech Republic walishinda mechi 2, wamepoteza 2 na mechi 1 ilisha kwa sare huku England wakishinda mechi 4 na kupata sare mechi 1.

  • Ushauri wetu katika mechi hii ni England itashida au mechi itaisha kwa sare.

Kwa takwimu zaidi kuhusu mechi hii, dondoo na vidokezo mbalimbali, odds na utabiri wa bure kabisa bofya https://tanzaniatips.com/predictions/id2159-Czech-Republic-vs-England-22-06-2021

PariMatch Tanzania homepage

Washirika wakuu

WinPrincess
Best Bonus In Tanzania Bonasi ya ukaribisho

150% BONASI!

Premier Bet
Best Value Bonasi ya ukaribisho

Win Up To 250% Extra In CASH!

PariMatch
Best New Bookmaker 2021 Bonasi ya ukaribisho

PATA BONASI YA KIPEKEE YA
100% PINDI UNAPOWEKA PESA
KWA MARA YA KWANZA

22Bet
Bonasi ya ukaribisho

Get a 100% bonus up to TSZ 300 000

Meridian Bet
Bonasi ya ukaribisho

Rudisha Sehemu Ya Tiketi Iliyoshindwa!

Makala zinazohusiana

Comments

No comments yet

Leave a comment

Thank you!

Thank you for your comment!

It will be published after being moderated