Menyu

Tips of the week 17.06.2021 EURO 2020 (Denmark vs Belgium)

| 17.06.2021
Tips of the week 17.06.2021 EURO 2020 (Denmark vs Belgium)

Denmark vs Belgium

  • EURO 2020 inaendelea leo kwenye mechi za mzunguko wa kwanza kundi B katika dimba la Telia Parken Uingereza majira ya saa 1:00 kwa saa za Afrika Mashariki itakutanisha Denmark vs Belgium. Belgium anaongoza kundi B kwa points 3 baada ya kushinda mechi ya kwanza dhidi ya Russia wiki iliyopita ushindi wa goli 3-0.

  • Kwa misimu ya hivi karibuni 2020 timu hizi zimekutana mala 2 katika mechi za head-to-head kwenye michuano ya UEFA Nations League, katika mechi zote hizo mbili Belgium waliibuka washindi bila kupoteza hata mechi moja. 

  • Takwimu ya mechi tano za mwisho walizocheza baina ya timu hizi na timu nyingine katika michuano mbalimbali ya kimataifa, Denmark walishinda mechi 3, wamepoteza 1 na kutoa sare mechi 1 huku Belgium wakishinda mechi 3, na kupata sare mechi 2. Michuano hii imeanza kuwa na mvuto tangu mechi za kwanza za mzunguko.

  • Maoni yetu katika mechi hii ni Belgium watashinda.

Kwa takwimu zaidi kuhusu mechi hii, dondoo na vidokezo mbalimbali, odds na utabiri wa bure kabisa bofya https://tanzaniatips.com/predictions/id2144-Denmark-vs-Belgium-17-06-2021

PariMatch Tanzania homepage

Washirika wakuu

WinPrincess
Best Bonus In Tanzania Bonasi ya ukaribisho

150% BONASI!

Premier Bet
Best Value Bonasi ya ukaribisho

Win Up To 250% Extra In CASH!

PariMatch
Best New Bookmaker 2021 Bonasi ya ukaribisho

PATA BONASI YA KIPEKEE YA
100% PINDI UNAPOWEKA PESA
KWA MARA YA KWANZA

22Bet
Bonasi ya ukaribisho

Get a 100% bonus up to TSZ 300 000

Meridian Bet
Bonasi ya ukaribisho

Rudisha Sehemu Ya Tiketi Iliyoshindwa!

Makala zinazohusiana

Comments

No comments yet

Leave a comment

Thank you!

Thank you for your comment!

It will be published after being moderated