Menyu

JE UNAWEZA KUTAJIRIKA KUPITIA MICHEZO YA KUBASHIRI?

| 11.06.2021
JE UNAWEZA KUTAJIRIKA KUPITIA MICHEZO YA KUBASHIRI?

JE UNAWEZA KUTAJIRIKA KUPITIA MICHEZO YA KUBASHIRI?

Kwanza kabisa napenda kukili kuwa japo sio kwa idadi kubwa ila wapo watu ambao wametajirika na kutengeneza mkwanja mrefu kupitia michezo ya kubashiri. Kuna wengi kubeti ni sehemu ya maisha yao, yaani anaendesha familia, kusomesha kupita kubeti, kwaiyo kuhusu hoja ya kutajirika kwenye michezo ya kubashiri ni jambo ambalo lipo na ni la uhakika.

Kubeti kumegeuka kama ajira na burudani kwa idadi kubwa ya vijana walio mitaani na hata wale ambao bado wanasoma elimu za juu na kwa wenye miaka zaidi ya 18, kubeti kumekuwa sehemu ya kitega uchumi, japo kumekuwa na katazo la Serikali ya kupiga marufuku kwa watoto walio chini ya miaka 18 imeagiza kwa mujibu wa sheria wasijihusishe na michezo hii ya kubashiri.

Kuna mambo lazima kuyazingatia kama unataka kushinda beti yako, ukiondoa bahati kuna vidokezo na mbinu tofauti vingi sana ambazo ukizifahamu itakusaidia kuongeza uwezo wa kushinda na kujiongezea kipato kwa kubeti, kuna baadhi ya vidokezo ambavyo mchezaji ni muhimu kuvifahamu kama ifuatavyo;

Moja ya vidokezo hivyo ambavyo vinaweza kukupa utajiri kupitia beti yako ni kubeti katika kiasi kidogo cha mechi na sio idadi kubwa ya mechi, idadi kubwa ya mechi itaondoa ile hali ya kushinda beti yako kutokana na kuongezeka kwa kiasi cha mechi ulizo weka kwenye mkeka.

Jinsi ya kua tajiri kwa kubeti

Ili ushinde pesa nyingi katika beti unashauriwa usizidishe mechi zaidi ya tatu mpaka tano kwenye mkeka wako na kama utachagua mechi kuanzia tano kushuka chini nafasi yako ya kushinda mkeka wako ni kubwa zaidi. Unapo beti chagua odds zilizo za wastani, hapa inamaanisha huna haja ya kuchagua odds mrahaba mkubwa sana ambapo uhalisia wake kushinda nafasi ni finyu sana.

Siri nyingine ya kujinyakulia mkwanja kwenye beti mchezaji anatakiwa kuwa mvumilivu; wachezaji wote wanahitaji kushinda na nafasi hiyo wanayo ya kushinda kila siku, ila siku zote mshindi ni aliye na uvumilivu pia jiepushe kubeti katika kila mchezo au tukio unaloliona mbele yako jaribu kubeti katika mchezo unao uelewa vizuri. Mchezaji unashauriwa kutumia kwa busara mtaji wako hata siku moja usiache fedha unazoshinda kwenye akaunti yako ya kubeti.

Penda sana kufuatilia utafiti wa timu kwa undani zaidi kabla huja chagua mechi ya kubeti, tunakushauri kutazama mirahaba au odds na matokeo ya kila timu kwa mechi zake za nyuma, unatakiwa kufuatila ukuaji wa klabu kwa kuangalia ukuaji wa mirahaba kwa kufanya hivyo unaweza kupata njia sahihi ya kubeti yenye tija zaidi.

Mwisho hii ni michezo ya kubahatisha, pamoja na yote hayo lolote linaweza kutokea kulingana na bahati yako uliojaaliwa. Ndio michezo hii inaweza kumtajirisha mtu pale atakaposhinda dau kubwa la fedha kama tunavyoona walioshinda Jackpot mbalimbali hutajirika kupitia michezo hii. Ushauri wetu ni cheza kwa kiasi kadri uivyojaaliwa ili kuepuka uraibu wa mchezo huu.

 PariMatch Tanzania homepage

Washirika wakuu

WinPrincess
Best Bonus In Tanzania Bonasi ya ukaribisho

150% BONASI!

Premier Bet
Best Value Bonasi ya ukaribisho

Win Up To 250% Extra In CASH!

PariMatch
Best New Bookmaker 2021 Bonasi ya ukaribisho

PATA BONASI YA KIPEKEE YA
100% PINDI UNAPOWEKA PESA
KWA MARA YA KWANZA

22Bet
Bonasi ya ukaribisho

Get a 100% bonus up to TSZ 300 000

Meridian Bet
Bonasi ya ukaribisho

Rudisha Sehemu Ya Tiketi Iliyoshindwa!

Makala zinazohusiana

Comments

No comments yet

Leave a comment

Thank you!

Thank you for your comment!

It will be published after being moderated