Menyu

NI MASOKO GANI RAHISI KUBETI MPIRA WA MIGUU NA KUSHINDA

| 09.06.2021
NI MASOKO GANI RAHISI KUBETI MPIRA WA MIGUU NA KUSHINDA

NI MASOKO GANI RAHISI KUBETI MPIRA WA MIGUU NA KUSHINDA

Soka (au mpira wa miguu) ni mchezo wa kutumia nguvu wenye vitendo vingi vinavyofanyika uwanjani. Hii ni moja ya sababu ya maswali mengi ya kwa nini kubeti mpira wa miguu kunasisimua sana. Mchezo wowote hutoa fursa zisizohesabika kujaribu bahati yako na kutabiri nani atashinda, magoli mangapi yatafungwa, kuna yoyote atapata kadi nyekundu, nakadhalika.

Kuwepo kwa aina nyingi za beti umsaidia mchezaji unafuu wa kubeti mechi mbalimbali za mpira wa miguu kila siku. Kwenye mechi bora, inawezekana kiuhalisia kukawa na mamia ya machaguo ya kubeti. Hakika hili hufanya utazamaji wako wa mpira wa miguu kuhamasika zaidi lakini muda huo huo unaweza kuhisi umepotea katika fursa zote hizi.

Kuna masoko mengi sana ya kuturahisishia kubeti ila kuna mengine ni bora zaidi katika kukupa ushindi katika kubeti kwako, beti za double chance hukupa nafasi mbili za kuwa sahihi kati ya tatu katika mechi ya mpira wa miguu na matokeo yake yanaweza kuwa ya ushindi, kupoteza au sare.

Hii humaanisha unaweza kuchagua aidha Timu moja kushinda au sare, ya 2 au sare, au ya 1 au ya 2. Katika mfano ambao umechagua ya 1 au sare, kama Timu ya 2 ikishinda — utapoteza. Kama Timu ya 1 ikishinda au kuna sare, utalipwa. Kutokana na kuwa kuna nafasi kubwa zaidi za wewe kupata tuzo katika mazingira haya, odds kwa kawaida zinakuwa chini zaidi.

Jinasi ya kubeti na kushinda

Kubeti kwa handicap ni moja ya mbinu za kisasa zaidi za kubeti, Wazo la handicap ni kujaribu na kuweka usawa. Mara nyingi zaidi, watu huweka beti za handicap katika mazingira mawili tofauti.

Kwanza, kama hakuna timu dhahiri pendwa, kubeti kwa handicap hukuwezesha kuongeza umbali kidogo baina ya timu, kufanya kuwa rahisi zaidi kwa moja kushinda. Sababu nyingine ya kubeti kwa handicap ni wakati unataka kubeti kwenye timu yako mwenyewe ya mpira wa miguu, lakini ndio timu dhaifu Kwa kutumia kubeti kwa handicap, unaweza kuweka usawa na kuipa beti yako nafasi ya kupigana kushinda bila ya kutakiwa kuwabetia wapinzani.

Kubeti kwa muda wa kipindi cha kwanza tu au kipindi cha pili tu (1st Half/ 2nd Half). hii ni aina ya kubeti matokeo kwa kipindi kimoja tu, unaweza kubeti matokeo ya kipindi cha kwanza tu au kipindi cha pili tu. kama ilivyokawida katika masoko mengine pia hapa unaweza kubashiri ushindi au sare kwa timu yoyote ndani ya kipindi kimoja tu.

Kuna aina nyingi za masoko rahisi katika ulimwengu wa kubashiri ambayo hutumiwa na wachezaji wengi sana kila mara. kwa kuorodhesha vyote kwa uharaka na urahisi miongoni wa masoko hayo ni double chance, draw no bet, normal bet, handcap n.k, hii ni kutokana na ukubwa wa mechi unayotaka kubashiria aina ya ligi na asili yake na mambo mengi zaidi. 

PariMatch Tanzania homepage

Washirika wakuu

WinPrincess
Best Bonus In Tanzania Bonasi ya ukaribisho

150% BONASI!

Premier Bet
Best Value Bonasi ya ukaribisho

Win Up To 250% Extra In CASH!

PariMatch
Best New Bookmaker 2021 Bonasi ya ukaribisho

PATA BONASI YA KIPEKEE YA
100% PINDI UNAPOWEKA PESA
KWA MARA YA KWANZA

22Bet
Bonasi ya ukaribisho

Get a 100% bonus up to TSZ 300 000

Meridian Bet
Bonasi ya ukaribisho

Rudisha Sehemu Ya Tiketi Iliyoshindwa!

Makala zinazohusiana

Comments

No comments yet

Leave a comment

Thank you!

Thank you for your comment!

It will be published after being moderated