Menyu

Tips of the week 13.06.2021 EURO 2020(England vs Croatia)

| 07.06.2021
Tips of the week 13.06.2021 EURO 2020(England vs Croatia)

England vs Croatia

  • Michuano ya Euro 2020 inawakwenda kuanza wiki hii ijumaa, mechi inayosubiriwa kwa hamu ni kati ya England dhidi ya Croatia itakayopigwa katika dimba la Wembley jumapili 13 June 2021 majira ya saa 10:00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki. Majina ya wachezaji wa mataifa mbalimbali yamekwisha tajwa na makocha wao ambao watakaoenda kuminyana katika michuano hii kwa msimu huu, England itaongozwa na kocha Gareth Southgate huku Croatia ikiongozwa na Zlatko Dalic.

  • Tunazo takwimu za head-to-head waizokutana baina ya timu hizi kwenye michuano ya kombe la dunia pamoja na UEFA Nations League World mwaka 2018, katika mechi 3 walizocheza England walishinda mechi 1, Croatia walishinda mechi 1 na mechi 1 ilikwisha kwa sare tasa. Ndani ya mechi 3 hizi walizokutana kwenye h2h yamepatikana jumla ya magoli 6 kutoka pande zote.

  • Tuangaze kwenye mechi 5 za kirafiki walizocheza baina ya timu zote hizi na mataifa mbalimbali hivi karibuni kwa mwaka huu 2021 ambapo England walishinda mechi zote 5 huku Croatia wakishinda mechi 2, wamepoteza 2 na mechi 1 kuishia kwa sare. Tunatarajia kuona mpambano wenye ushindani mkubwa baina ya timu hizi kwakua kuna mabadiliko makubwa katika vikosi vyao na historia za kukutana timu hizi kwenye michuano mbalimbali.

  • Ushauri wetu katika mechi hii ni England watashinda.

Kwa takwimu zaidi kuhusu mechi hii, dondoo na vidokezo mbalimbali, odds na utabiri wa bure kabisa bofya https://tanzaniatips.com/predictions/id2132-England-vs-Croatia-13-06-2021

Parimatch Tanzania

Washirika wakuu

WinPrincess
Best Bonus In Tanzania Bonasi ya ukaribisho

150% BONASI!

Premier Bet
Best Value Bonasi ya ukaribisho

Win Up To 250% Extra In CASH!

PariMatch
Best New Bookmaker 2021 Bonasi ya ukaribisho

PATA BONASI YA KIPEKEE YA
100% PINDI UNAPOWEKA PESA
KWA MARA YA KWANZA

22Bet
Bonasi ya ukaribisho

Get a 100% bonus up to TSZ 300 000

Meridian Bet
Bonasi ya ukaribisho

Rudisha Sehemu Ya Tiketi Iliyoshindwa!

Makala zinazohusiana

Comments

No comments yet

Leave a comment

Thank you!

Thank you for your comment!

It will be published after being moderated