Menyu

JINSI YA KUTABIRI MECHI YA MPIRA WA MIGUU KWA USAHIHI

| 04.06.2021
JINSI YA KUTABIRI MECHI YA MPIRA WA MIGUU KWA USAHIHI

JINSI YA KUTABIRI MECHI YA MPIRA WA MIGUU KWA USAHIHI

Mpira wa miguu ni mchezo unao pendwa zaidi dunia kuliko michezo mingine, kuwepo kwa idadi hiyo kubwa ya mashabiki kumepelekea pia kuwepo kwa ongezeko kubwa la Makampuni ya kutabiri  na mchezo huu wa mipira kuwa na watu wengi wanaotabiri kupitia ligi mbalimbali zinazoendelea  duniani.

Ila watu wengi wamekuwa wakishindwa kupata matokeo pindi wanapo beti, kwa kuwa wanashindwa kujua mbinu, wanakosa mikakati sahii watakayo itumia ili iwape matokeo yaliyo sahihi. Kuna mbinu nyingi zinaweza kumfanya mtu ashinde mkeka wake na anatakiwa kupata matokeo kwenye michezo ya kubashiri sio kazi rahisi 

Ili ushinde kitu cha kwanza unachohitaji ni kuelewa kanuni za alama za kubashiri Watu wengi wamekuwa wakijiingiza kwenye michezo ya beti pasipo kufahamu, namna gani sahihi ya kubeti. Hali iliyopelekea makampuni mengi ya betini nchini kuandaa watu ili kutoa maelekezo na namna gani unaweza kubashili nakuibuka mshindi. Awajaishia hapo tu, ili kuhakikisha michezo hii ya kubashiri inakuwa na wadau wengi, kumekuwepo na mafunzo kupitia vyanzo mbalimbali, ikiwepo kuandaa tovuti zinazoelezea na kuonyesha njia sahihi ya kubeti kwa wateja wao.

jinsi ya kushinda beti kirahisi

Pindi unapojaribu kujua upi ni upande wenye nguvu zaidi, unaangalia vitu viwili. Kwanza angalia alama ambazo zina utofauti mkubwa kati ya alama za kubashiri kati ya timu pendwa na timu dhaifu. Pili angalia alama kubwa za kubashiri kwenye matokeo ya sare maana hili humaanisha sare inauwezekano mdogo mno kutokea. Kuna machaguo mengi ya kuchagua na ukajihakikishia ushindi, lakini yote yanahitaji ufahamu wakutosha juu soka, kufahamu wachezaji kwa ubora wa timu na mchezaji mmoja mmoja, ligi unayopendelea kuitumia kipindi utakapokuwa unabashiri.

Kufahamu mfumo utakao utumia ambao unaona unakupendeza na ni rahisi kwako kubashiri, kuchagua idadi ya timu uliyoifatilia na kuitambua ubora wake dhidi ya mpinzani wake, hakikisha unafahamu vizuri mwenendo wa ligi ambayo timu hiyo, unayoipendekeza unaijua vizuri. Chaguo lako hakikisha linazingatia sana alama zilizotolewa dhidi ya timu husika. Wakati wa kubashiri ni muhimu kuelewa kuwa ipi ni timu pendwa kushinda mechi au mchezo.

Wakati mwingine unaweza kuibashiria timu dhaifu kama mbinu yakuongeza ushindi wako, ila kama wewe bado ni mwanafunzi ni bora ubashirie timu pendwa. Kubashilia timu dhaifu ni mbinu hatari iitakayokupa mashaka makubwa juu ya ushindi wako. Uwezekano wako wa kushinda umependekezwa katika alama za kubashiri, hizi alama za kubashiri utegemea na kampuni husika ilivyojiwekea, kwa mfano kuna makampuni ya kubashiri utumia alama za desimali. Kwa makampuni yanayotumia alama za desimali ili ushinde unahitaji umakini mkubwa kwa mfano alama ya desimali inapokuwa kubwa zaidi ndivyo marejesho yanavyokuwa makubwa zaidi na kadri alama zinavyokuwa kubwa zaidi ndivyo hatari inavyokuwa kubwa zaidi. Kuna makampuni mengine ili ushinde lazima uwe makini kuangalia orodha ya soka, alama zilizowekwa eidha unataka kubashiri magori, sare au vyote kwa wakati mmoja. Pia ili mahiri kwenye chaguo za kushinda unatakiwa kuwa unafahamu timuzipi ni pendwa na zipi ni dhaifu, na hili ni wazo zuri sana kuzifahamu timu kabla ya kubashiri.

Kwenye kubashiri timu zinazofikiliwa ni timu zinazofanya vizuri, ni timu ambazo zinauwezekano mkubwa wa kushinda mchezo. Baadhi ya mchezo timu zinaweza kuwa na uwiano sawa wa ubora, wakati timu moja inaweza kuwa pendwa na nyingine dhaifu hali hiyo humaanisha ushindi unaweza kwenda upande wowote.

Wakati wa kubashiri timu uliyo ichagua unatakiwa kuhakikisha ina uwezekano mkubwa wa kushinda kuliko timu nyingine.

PariMatch Tanzania homepage

Washirika wakuu

WinPrincess
Best Bonus In Tanzania Bonasi ya ukaribisho

150% BONASI!

Premier Bet
Best Value Bonasi ya ukaribisho

Win Up To 250% Extra In CASH!

PariMatch
Best New Bookmaker 2021 Bonasi ya ukaribisho

PATA BONASI YA KIPEKEE YA
100% PINDI UNAPOWEKA PESA
KWA MARA YA KWANZA

22Bet
Bonasi ya ukaribisho

Get a 100% bonus up to TSZ 300 000

Meridian Bet
Bonasi ya ukaribisho

Rudisha Sehemu Ya Tiketi Iliyoshindwa!

Makala zinazohusiana

Comments

No comments yet

Leave a comment

Thank you!

Thank you for your comment!

It will be published after being moderated