Menyu

JINSI YA KUTABIRI SARE KWA MECHI YA MPIRA WA MIGUU

| 01.06.2021
JINSI YA KUTABIRI SARE KWA MECHI YA MPIRA WA MIGUU

JINSI YA KUTABIRI SARE KWA MECHI YA MPIRA WA MIGUU

Kama ilivyo kwenye aina zote za kubeti, kuna mbinu fulani ambazo hufanya kazi vizuri zaidi ili beti yako ikunufaishe,  Kubeti sare ni moja wapo ya mbinu inayoweza kuongeza nafasi kubwa ya mchezaji kwa maana atakuwa na uwezekano zaidi ya kushinda ubashiri wake kirahisi, mbinu hizo ni nyingi na wachezaji wengi utumia njia zilizoainishwa kitaalam na wataalamu wa beti.

Kwa mchezaji  anaweza kuweka kubeti matokeo ya sare  kabla ya mechi, na wakati mechi ikiendelea mubashara, na za virtual. Hii humaanisha unaweza kutumia takwimu na historia kubeti  kabla ya mechi na uwezekano wa sare unategemeana na mbinu za mchezaji na kihistoria  za timu zote mbili. Unaweza kutazama uchezaji wa timu wa ndani ya mchezo na kubeti sare kwa kuchelewa kwa kuweka bashiri mubashara. Njia yoyote ile, kubeti sare ni mbinu inayosisimua na yenye uwezekano wa malipo makubwa.

Kubeti sare ni wakati mbashiri anaweka beti kwenye sare. Sio aina maarufu zaidi ya kubeti kwa sababu watu wengi hufikiri kuwa sare hazitokei mara kwa mara  na kuamini kuwa kubeti sare mara nyingi hakuwapi wabashiri matokeo yenye faida na kuwa sio zenye bahati. Hii sio kweli kabisa na mbinu hutofautiana kwa kutegemeana na unabetia mchezo gani na timu zipi zinacheza.

Jinsi ya kubashiri sare na kushinda

Hebu tuchukulie mfano wa mpira wa miguu (soka), Ndani ya miaka 10 iliyopita, 25% ya michezo ya Ligi Kuu iliishia katika sare. Hii ni takwimu kubwa sana na haifahi kuipuuza na huchezesha odds haswa pindi unabeti kwenye beti za 1X2. Ukweli ni kwamba sare hutokea katika robo moja ya michezo yote na kuwapa nafasi kubwa ya kuibuka washindi. Kubeti kwenye sare inaweza kuwa mbinu nzuri kama unajua nini unachofanya. Kama unaweza kugundua alama za kuashiria sare inayowezekana kabla haijatokea, una nafasi ya kushinda faida nzuri kutoka kwenye odds kubwa zilizopo kwenye sare.

Moja ya makosa makubwa unayoweza kuyafanya wakati unabeti sare ni mchezaji kudhania kuwa timu zilizo kwenye madaraja sawa pindi zinapo kutana zitatoa sare kwa sababu zina uwezo sawa. Timu ambazo ziko karibu kwa kila moja katika msimamo wa ligi zina uwezekano wa kupambana dhidi ya kila mmoja kwa nguvu zaidi kutokana na kwamba zinataka kuipita timu iliyo juu yao (au kubakia sehemu zao), Badala yake, unataka kutafuta timu ambazo zote mbili zingefaidika kwa kutoa  sare.

Kama unafikiria wazo la kubeti kwenye sare lakini una wasiwasi kidogo kuchukua hatua kikamilifu, kuna beti chache mbadala ambazo unaweza kuweka zenye mtazamo sawa na beti za sare kwa mfano kubeti kwa double chance, hii inakupa wigo wa kuchagua timu moja na kuipa matokeo mawili kushinda au kutoa sare kwenye mechi husika dhidi ya mpinzani wake.

PariMatch Tanzania homepage

Washirika wakuu

WinPrincess
Best Bonus In Tanzania Bonasi ya ukaribisho

150% BONASI!

Premier Bet
Best Value Bonasi ya ukaribisho

Win Up To 250% Extra In CASH!

PariMatch
Best New Bookmaker 2021 Bonasi ya ukaribisho

PATA BONASI YA KIPEKEE YA
100% PINDI UNAPOWEKA PESA
KWA MARA YA KWANZA

22Bet
Bonasi ya ukaribisho

Get a 100% bonus up to TSZ 300 000

Meridian Bet
Bonasi ya ukaribisho

Rudisha Sehemu Ya Tiketi Iliyoshindwa!

Makala zinazohusiana

Comments

No comments yet

Leave a comment

Thank you!

Thank you for your comment!

It will be published after being moderated