Menyu

Tips of the week 23.05.2021 (Leicester vs Tottenham)

| 20.05.2021
Tips of the week 23.05.2021 (Leicester vs Tottenham)

Leicester vs Tottenham

  • Leicester City wataikaribisha Tottenham United katika dimba la King Power Stadium jumapili hii 23.05.2021 saa 12 jioni kwa saa za Afrika mashariki. Ikumbukwe Leicester City wameshushwa na liverpool kwenye msimamo wa ligi kutoka nafasi ya 4 mpaka ya 5 na wakifungana alama 66 huku Tottenham wakiwa nafasi ya 7 wakiwa na alama 59. Leicester City na Tottenham zinaangalia nafasi katika mashindano ya Europa league kwa msimu ujao lakini pia leicester wana nafasi ya kupigania Euefa endapo wakimaliza ndani ya nafasi 4 za juu.

  • Katika misimu miwili iliyopita ya hivi karibuni 2018/19 na 2019/20 rekodi baina ya timu hizi mbili kwenye mechi 5 za head-to-head walizokutana ndani ya misimu hiyo mpaka sasa, Leicester walishinda mechi 2 huku Tottenham wakishinda mechi 3. Kuelekea mwisho wa msimu hii ni moja ya mechi muhimu kwa timu zote 2 kuondoka na alama 3 dhidi ya mpinzani wake.

  • Kwenye mechi 5 za mwisho walizocheza hivi karibuni baina ya timu hizi na timu nyingine mbalimbali katika ligi na michuano mingine, Leicester City wameshinda mechi 3, wamepoteza 1 na 1 kuisha kwa sare huku Tottenham wakishinda mechi 3 na kupoteza 2.

  • Ushauri wetu katika mechi hii ni Tottenham watapata magoli chini ya 2.5

Kwa takwimu zaidi kuhusu mechi hii, dondoo na vidokezo mbalimbali, odds na utabiri wa bure kabisa bofya https://tanzaniatips.com/predictions/id2080-Leicester-vs-Tottenham-23-05-2021

PariMatch Tanzania homepage

Washirika wakuu

WinPrincess
Best Bonus In Tanzania Bonasi ya ukaribisho

150% BONASI!

Premier Bet
Best Value Bonasi ya ukaribisho

Win Up To 250% Extra In CASH!

PariMatch
Best New Bookmaker 2021 Bonasi ya ukaribisho

PATA BONASI YA KIPEKEE YA
100% PINDI UNAPOWEKA PESA
KWA MARA YA KWANZA

22Bet
Bonasi ya ukaribisho

Get a 100% bonus up to TSZ 300 000

Meridian Bet
Bonasi ya ukaribisho

Rudisha Sehemu Ya Tiketi Iliyoshindwa!

Makala zinazohusiana

Comments

No comments yet

Leave a comment

Thank you!

Thank you for your comment!

It will be published after being moderated