Menyu

Tips of the Day 19.05.2021 (Burnley vs Liverpool)

| 18.05.2021
Tips of the Day 19.05.2021 (Burnley vs Liverpool)

Burnley vs Liverpool

  • Wiki hii kwenye muendelezo wa mechi za mwisho wa msimu wa ligi kuu Uingereza Jumatano 19.05.2021 Burnley wataikaribisha Liverpool ndani ya dimba la Turf Moor majira ya saa 4:30 usiku kwa saa za Afrika Mashariki. Burnley wamekua na matokeo mabaya katika uwanja wao wa nyumbani hivi karibuni huku Liverpool nayo ikipambana kwa hali na mali kumaliza ligi ikiwa ndani ya top 4 ya msimamo wa ligi.

  • Burnley wapo nafasi ya 15 na alama 39 katika msimamo wa ligi huku Liverpool wakiwa nafasi ya 5 na alama 63, katika mechi 5 za head-to-head za hivi karibuni walizokutana baina ya timu hizi kwa misimu 2 iliyopita mpaka sasa Liverpool imeshinda mechi 3, Burnley wameshinda mechi 1 na mechi 1 kuisha kwa sare. Kutokana na takwimu zetu kwenye mechi hii Burnley wana 35% huku wageni wao wakiwa na 65% ya uwezekano wa kushinda mechi hii.

  • Mechi 5 za mwisho walizocheza hivi karibuni timu zote mbili na timu nyingine mbalimbali kwenye ligi na michuano ya kimataifa, Burnley wameshinda mechi 2 na kupoteza 3 huku Liverpool wakishinda mechi 2 na kutoa sare mechi 3. Liverpool wanatafuta ushindi kwenye mechi hii dhidi ya Burnley na wataingia katika nafasi ya 4 ikiwa Chelsea watapoteza mchezo wao.

  • Ushauri wetu katika mechi hii ni Liverpool itashinda au mechi itaisha kwa sare.

Kwa takwimu zaidi kuhusu mechi hii, dondoo na vidokezo mbalimbali, odds na utabiri wa bure kabisa bofya https://tanzaniatips.com/predictions/id2070-Burnley-vs-Liverpool-19-05-2021

PariMatch homepage Tanzania

Washirika wakuu

WinPrincess
Best Bonus In Tanzania Bonasi ya ukaribisho

150% BONASI!

Premier Bet
Best Value Bonasi ya ukaribisho

Win Up To 250% Extra In CASH!

PariMatch
Best New Bookmaker 2021 Bonasi ya ukaribisho

PATA BONASI YA KIPEKEE YA
100% PINDI UNAPOWEKA PESA
KWA MARA YA KWANZA

22Bet
Bonasi ya ukaribisho

Get a 100% bonus up to TSZ 300 000

Meridian Bet
Bonasi ya ukaribisho

Rudisha Sehemu Ya Tiketi Iliyoshindwa!

Makala zinazohusiana

Comments

No comments yet

Leave a comment

Thank you!

Thank you for your comment!

It will be published after being moderated