Menyu

JE! NI MCHEZO GANI RAHISI KUTABIRI?

| 17.05.2021
JE! NI MCHEZO GANI RAHISI KUTABIRI?

JE! NI MCHEZO GANI RAHISI KUTABIRI?

Soka(mpira wa miguu) ni mchezo maarufu na pendwa sana duniani na kwa takwimu chache ndio mchezo unaopendwa na kutazamwa na watu wengi kuliko mchezo mwingine wowote ule, ni mchezo wa kutumia nguvu na wenye vitendo vingi vinavyo fanyika uwanjani, hii ni moja ya sababu inayofanya kubeti  mpira wa  miguu mtandaoni kunasisimua sana kuliko kwenda kwa mawakala. Ni mchezo ambao hutoa fursa zisizohesabika kwa wale wanao jaribu bahati yao kwa kubashiri aina mbalimbali za masoko yakiwemo nani atashinda, magori mangapi yatafungwa, kuna yoyote atapata kadi nyekundu na kadharika. 

Jambo la muhimu kwa mchezaji ni kujifunza kwanza kuchagua mchezo gani kwake ni bora, nikiangalia michezo iliyo mingi ya kubeti karibu yote odds zake zinafanana na kama kutofautiana ni kwa kiwango kidogo sana, ila napendekeza mpira wa miguu kuwa ndio mchezo bora na rahisi unaoongoza kwa sasa kwa kuwa na idadi kubwa ya wachezaji katika historia na kumbukizi za Makampuni yaliyo mengi nchini.

Mchezo huu unaofuatiliwa na watu wengi na ndio mchezo unamiliki mashabiki wengi sana duniani kuliko mchezo mwingine wowote. Kwa nini mpira wa miguu ni aina ya mchezo  ambao unaweza kuweka ubashiri wako katika matokeo ya mechi katika vipindi vyote viwili. Wachezaji hubashiri nani atashinda mwisho wa kipindi cha kwanza na nani atashinda mwisho wa mechi. Mara nyingi ubashiri wa namna hii ushauriwa kutumika kwa wachezaji wazoefu.

mchezo rahisi kutabiri mtandaoni

Katika mpira wa miguu kuna beti za kona, ambazo zinakupa uhuru wa kubashiri ni idadi ngapi za kona zitakazo pigwa katika mchezo husika. Wachezaji wanaweza kubashiri idadi ya kona kama zitaenda kua juu au chini ya kiwango kilichowekwa na kampuni ya kubashiri. Pia unaweza kukuta masoko kama idadi ya kona katika kipindi fulani kama kipindi cha kwanza au idadi ya kona kwenye timu fulani. 

Pia mchezo wa soka unakupa ubashiri wa kadi  urahisi wa beti hii ni pale  ambapo utabashiri idadi ya kadi (njano ama nyekundu) zitakazotolewa katika mechi moja kama zitaenda kua zaidi ama pungufu kutokana na kiwango kilichowekwa na kampuni ya ubashiri. Ubashiri wa kadi mara nyingi hutumika kwa wachezaji wazoefu. 

Kingine kinachofanya mchezo huu wa soka kuwa rahisi kutabiri kuliko michezo mingine ni mfumo wa vidokezo vyake vilivyo, alama zinazotolewa na Makampuni pamoja na aina zake za betini ni nzuri na ni nafuu kwa mchezaji kushinda na pia mazingira yake ya ufatiliaji ni rahisi na vyepesi kwa mchezaji kujifunza na kuuelewa kirahisi tofauti na michezo mingine hapa ulimwenguni, na kitu kingine mpira wa miguu unawachambuzi wengi nchini kuliko michezo mingine.

PariMatch homepageTanzania

Washirika wakuu

WinPrincess
Best Bonus In Tanzania Bonasi ya ukaribisho

150% BONASI!

Premier Bet
Best Value Bonasi ya ukaribisho

Win Up To 250% Extra In CASH!

PariMatch
Best New Bookmaker 2021 Bonasi ya ukaribisho

PATA BONASI YA KIPEKEE YA
100% PINDI UNAPOWEKA PESA
KWA MARA YA KWANZA

22Bet
Bonasi ya ukaribisho

Get a 100% bonus up to TSZ 300 000

Meridian Bet
Bonasi ya ukaribisho

Rudisha Sehemu Ya Tiketi Iliyoshindwa!

Makala zinazohusiana

Comments

No comments yet

Leave a comment

Thank you!

Thank you for your comment!

It will be published after being moderated