Menyu

Tips of the week 09.05.2021 (Juventus vs AC Milan)

| 07.05.2021
Tips of the week 09.05.2021 (Juventus vs AC Milan)

Juventus vs AC Milan

  • Ingawa shughuli ishakwisha ligi kuu nchini Italia baada ya Inter Milan kutawazwa kua mabingwa rasmi wa ligi kuu Seria A msimu wa 2020/21 lakini wikiendi hii 09.05.2021 ratiba ya kukamilisha idadi ya michezo bado inaendelea kwa Juventus kuwakaribisha AC Milan katika dimba la Allianz Stadium. Juve wapo katika nafasi ya 3 kwenye msimamo wa ligi wakiwa na alama 69 sawasawa na AC Milan wakiwa na alama 69 nafasi ya 4 wakizidiwa idadi ya magoli na Juve.

  • Katika mechi 5 za hivi karibuni za head-to-head walizokutana baina ya timu hizi kwa msimu miwili hii ya hivi karibuni 2019/20 na 2020/21, Juventus wameshinda mechi 2, AC Milan 1 na mechi 1 ilikwisha kwa sare. Kuja kwenye mchezo huu, AC Milan hawajashinda dhidi ya Juventus wakiwa ugenini kwenye mechi za mwisho za ligi hivi karibuni.

  • Takwimu za mechi tano za mwisho kucheza baina ya timu hiz mbili na timu nyingine katika michuano mbalimbali inayoshiriki ikiwemo ya ligi na kimataifa, Juventus wameshinda michezo 3, wamepoteza 1 na sare 1 huku AC Milan wakishinda michezo 3 na kupoteza miwili. Timu zote zimekua zikishuana vikali kuwania nafasi nne za juu ili kupata tiketi ya kushiriki ligi ya mabingwa kwa msimu ujao.

  • Ushauri wetu katika mechi hii ni Juventus watashinda au mechi itaisha kwa sare.

Kwa takwimu zaidi kuhusu mechi hii, dondoo na vidokezo mbalimbali, odds na utabiri wa bure kabisa bofya https://tanzaniatips.com/predictions/id1980-Juventus-vs-AC-Milan-09-05-2021

 PariMatch Tanzania

Washirika wakuu

WinPrincess
Best Bonus In Tanzania Bonasi ya ukaribisho

150% BONASI!

Premier Bet
Best Value Bonasi ya ukaribisho

Win Up To 250% Extra In CASH!

PariMatch
Best New Bookmaker 2021 Bonasi ya ukaribisho

PATA BONASI YA KIPEKEE YA
100% PINDI UNAPOWEKA PESA
KWA MARA YA KWANZA

22Bet
Bonasi ya ukaribisho

Get a 100% bonus up to TSZ 300 000

Meridian Bet
Bonasi ya ukaribisho

Rudisha Sehemu Ya Tiketi Iliyoshindwa!

Makala zinazohusiana

Comments

No comments yet

Leave a comment

Thank you!

Thank you for your comment!

It will be published after being moderated