Menyu

Tips of the Day 05.05.2021 (Chelsea vs. Real Madrid)

| 05.05.2021
Tips of the Day 05.05.2021 (Chelsea vs. Real Madrid)

Chelsea dhidi ya Real Madrid

  • Mpambano wa pili wa nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa kati ya Chelsea na Real Madrid utapigwa leo ndani ya Stamford Bridge usiku saa 22:00. Katika mechi  ya 1 wiki iliyopita, Timu zote zilicheza kwa kiwango bora na ushindani mkubwa kwa vipindi tofauti ambapo kipindi cha 1 Chelsea ilikua bora na cha pili Madrid walikua bora kupelekea mechi hiyo kuisha kwa sare ya 1-1.

  • Huu utakuwa mtanange wa tatu wa head-to-head waliokutana hivi karibuni kati ya timu hizi kati ya timu hizi kwenye Ligi ya Mabingwa ya UEFA katika misimu iliopita wa 2016 hadi msimu huu wa sasa, Madrid ilishinda mchezo 1, na mechi 1 ilimalizika kwa sare. Chelsea imekuwa ikifanya kazi nzuri chini ya Meneja Thomas Tuchel na imeonyesha kuimarika katika miezi michache iliyopita hivi karibuni kwenye kikosi chao.

  • Katika michezo mitano ya mwisho iliyochezwa na timu zote mbili hivi karibuni kwenye ligi na mashindano mengine, Chelsea ilishinda michezo 3, na 2 ilimalizika kwa sare wakati Madrid ilishinda 2, na mechi 3 ziliisha kwa sare. Chelsea haijawahi kuifunga Real Madrid katika mechi za H2H mala zote walizokutana na tunatarajia kuona je wataweka historia kwa mara ya kwanza au mwendo utakua uleule.

  • Ushauri wetu katika mchezo huu uko magoli yatapatikana chini ya 3.5.

Kwa takwimu zaidi kuhusu mechi hii, dondoo na vidokezo mbalimbali, odds na utabiri wa bure kabisa bofya https://tanzaniatips.com/predictions/id1992-Chelsea-vs-Real-Madrid-05-05-2021

https://affpros.net/?serial=3774&creative_id=304&anid=

Washirika wakuu

WinPrincess
Best Bonus In Tanzania Bonasi ya ukaribisho

150% BONASI!

Premier Bet
Best Value Bonasi ya ukaribisho

Win Up To 250% Extra In CASH!

PariMatch
Best New Bookmaker 2021 Bonasi ya ukaribisho

PATA BONASI YA KIPEKEE YA
100% PINDI UNAPOWEKA PESA
KWA MARA YA KWANZA

22Bet
Bonasi ya ukaribisho

Get a 100% bonus up to TSZ 300 000

Meridian Bet
Bonasi ya ukaribisho

Rudisha Sehemu Ya Tiketi Iliyoshindwa!

Makala zinazohusiana

Comments

No comments yet

Leave a comment

Thank you!

Thank you for your comment!

It will be published after being moderated