Menyu

Tips of the Day 24.04.2021 (Cadiz vs Real Madrid)

| 20.04.2021
Tips of the Day 24.04.2021 (Cadiz vs Real Madrid)

Cadiz vs Real Madrid

  • Cadiz wanaikaribia Real Madrid jumatano hii kwenye mwendelezo ma michezo ya ligi kuu hispania maarufu kama La Liga. Mechi hii itachezwa katika dimba la Estadio Ramon de Carranza majira ya saa 5:00 kwa saa za Afrika Mashariki, Cadiz wapo nafasi ya 13 katika ligi wakiwa na alama 36 huku Madrid wakiwa nafasi ya pili na alama 67 nyuma ya vinara Atletico Madrid.

  • Mala ya mwisho timu hizi kukutana kwenye head-to-head ilikuwa 17.10.2020 na Cadiz waliibuka na ushindi wa goli 1 kwa 0 wakiwa ugenini. Madrid wanatarajiwa kufanya vizuri katika mechi hii kwakua wakishinda wanakuwa sawa kwa points na vinara wa ligi hiyo na kupelekea kuibua rasmi ndoto za ushindi wa kombe kwa msimu huu pia.

  • Kwenye mechi 5 za mwisho walizocheza baina ya timu zote na timu zingine katika michuano mbalimbali wanayoshiriki, Cadiz wameshinda mechi 2, wamepoteza 1 na mechi 2 kupata sare huku wageni wao Madrid wakishinda mechi 3 na kupata sare mechi 2.

  • Itakua mechi yenye kupaniana sana kwakua Madrid lengo lao ni kuwa kinara wa ligi, maoni yetu katika mechi hii ni ushindi kwa Madrid au mechi kuihs kwa sare.

Kwa takwimu zaidi kuhusu mechi hii, dondoo na vidokezo mbalimbali, odds na utabiri wa bure kabisa bofya https://tanzaniatips.com/predictions/id1883-Cadiz-vs-Real-Madrid-21-04-2021

PariMatch Tanzania homepage

Washirika wakuu

WinPrincess
Best Bonus In Tanzania Bonasi ya ukaribisho

150% BONASI!

Premier Bet
Best Value Bonasi ya ukaribisho

Win Up To 250% Extra In CASH!

PariMatch
Best New Bookmaker 2021 Bonasi ya ukaribisho

PATA BONASI YA KIPEKEE YA
100% PINDI UNAPOWEKA PESA
KWA MARA YA KWANZA

22Bet
Bonasi ya ukaribisho

Get a 100% bonus up to TSZ 300 000

Meridian Bet
Bonasi ya ukaribisho

Rudisha Sehemu Ya Tiketi Iliyoshindwa!

Makala zinazohusiana

Comments

No comments yet

Leave a comment

Thank you!

Thank you for your comment!

It will be published after being moderated