Menyu

Tips of the week 18.04.2021 (Manchester United vs Burnley)

| 16.04.2021
Tips of the week 18.04.2021 (Manchester United vs Burnley)

Manchester United vs Burnley

  • Jumapili hii ndani ya ligi kuu uingereza Man United wataikaribisha Burnley katika dimba la Old Trafford majira ya saa 12:00 jioni. Man United wana asilimia 72% katika mchezo huu dhidi ya wapinzani wao Burnley wakiwa na 28% hii ni kutokana na kiwango bora walichokiona Man U hivi karibuni kwenye michuano mbalimbali. Na katika msimamo wa ligi kuu Uingereza Man U wapo nafasi ya 2 wakiwa na alama 63 huku Burnley wakiwa nafasi ya 16 wakiwa na alama 33.

  • Katika mechi 5 za head-to-head walizokutana baina ya timu hizi mbili kwenye misimu 2 iliyopita ya hivi karibuni, Man United wameshinda mechi 3, Burnley 1 na mechi 1 ilishia kwa sare. Man U wametoka kushinda dhidi ya Granada CF kwenye michuano ya Europa League na kutinga hatua ya nusu fainali ya michuano hiyo.

  • Mechi tano za hivi karibuni walizocheza timu hizi zote mbili dhidi ya timu nyingine kwenye michuano mbalimbali, Man united wameshinda mechi 4 na kupoteza 1 huku Burnley wakishinda mechi 1, wamepoteza 2 na mechi  kuishia kwa sare. 

  • Maoni yetu katika mechi hii ni ushindi kwa Man United au mechi kuisha kwa sare.

Kwa takwimu zaidi kuhusu mechi hii, dondoo na vidokezo mbalimbali, odds na utabiri wa bure kabisa bofya https://tanzaniatips.com/predictions/id1770-Manchester-United-vs-Burnley-18-04-2021

Parimatch Tanzania homepage

Washirika wakuu

WinPrincess
Best Bonus In Tanzania Bonasi ya ukaribisho

150% BONASI!

Premier Bet
Best Value Bonasi ya ukaribisho

Win Up To 250% Extra In CASH!

PariMatch
Best New Bookmaker 2021 Bonasi ya ukaribisho

PATA BONASI YA KIPEKEE YA
100% PINDI UNAPOWEKA PESA
KWA MARA YA KWANZA

22Bet
Bonasi ya ukaribisho

Get a 100% bonus up to TSZ 300 000

Meridian Bet
Bonasi ya ukaribisho

Rudisha Sehemu Ya Tiketi Iliyoshindwa!

Makala zinazohusiana

Comments

No comments yet

Leave a comment

Thank you!

Thank you for your comment!

It will be published after being moderated