Menyu

Tips of the Day 14.04.2021 (Liverpool vs Real Madrid)

| 13.04.2021
Tips of the Day 14.04.2021 (Liverpool vs Real Madrid)

Liverpool vs Real Madrid

  • Liverpool watakua na kibarua kizito cha kupindua matokeo ya mchezo wa pili katika michuano ya ligi ya mabingwa ulaya wakiwakaribisha vijana wa Zidane katika dimba lao la Anfield majira ya saa 4 usiku kesho Jumatano. Ikumbukwe Real Madrid waliibuka na ushindi wa goli 3 kwa 1 kwenye mechi ya 1 ya robo fainali na sasa mbio kuelekea nusu fainali.

  • Liverpool imekua na matokeo mabaya hivi karibuni katika ligi na michuano mingine mikubwa kutokana na majera ya wachezaji wao tegemei katika kikosi chao. Katika mechi 4 za hivi karibuni baina ya timu hizi kukutana head-to-head kwenye michuano hii, Real Madrid wameshinda mechi zote 4 dhidi ya Liverpool. Je Liverpool watafanya comeback kama msimu uliopita dhidi ya Barcelona pale Anfield?

  • Madrid imeonesha kiwango bora na chenye ushindani katika mechi iliyopita dhidi ya wenyeji wao na kupelekea kupata ushindi mnono wa goli tatu ambazo zimekua mtaji kwao kuwarahishia njia ya kwenda nusu fainali. Kwenye mechi 5 za mwisho walizocheza hivi karibuni kwa timu zote mbili, Liverpool wameshinda mechi 4 na kupoteza huku Madrid wakishinda mechi zote 5.

  • Ushauri wetu katika mechi hii ni Real Madrid kushinda au mechi kuisha kwa sare.

Kwa takwimu zaidi kuhusu mechi hii, dondoo na vidokezo mbalimbali, odds na utabiri wa bure kabisa bofya https://tanzaniatips.com/predictions/id1816-Liverpool-vs-Real-Madrid-14-04-2021

PariMatch Tanzania

Washirika wakuu

WinPrincess
Best Bonus In Tanzania Bonasi ya ukaribisho

150% BONASI!

Premier Bet
Best Value Bonasi ya ukaribisho

Win Up To 250% Extra In CASH!

PariMatch
Best New Bookmaker 2021 Bonasi ya ukaribisho

PATA BONASI YA KIPEKEE YA
100% PINDI UNAPOWEKA PESA
KWA MARA YA KWANZA

22Bet
Bonasi ya ukaribisho

Get a 100% bonus up to TSZ 300 000

Meridian Bet
Bonasi ya ukaribisho

Rudisha Sehemu Ya Tiketi Iliyoshindwa!

Makala zinazohusiana

Comments

No comments yet

Leave a comment

Thank you!

Thank you for your comment!

It will be published after being moderated