Menyu

Tips of the week 03.04.2021 (RB Leipzig vs Bayern Munich)

| 30.03.2021
Tips of the week 03.04.2021 (RB Leipzig vs Bayern Munich)

RB Leipzig vs Bayern Munich

  • Jumamosi hii nani ya Bundesliga nchini Ujerumani katika uwanja wa Red Bull Arena huko jijini Leipzig, Saxony wenyeji RB Leipzig watawakiribisha vinara wa ligi na bingwa mtetezi Bayern Munich mechi itachezwa majira ya saa 1:30 usiku. Utakua mchuano mgumu na wenye ushindani kwakua timu zote zipo katika nafasi 2 za juu katika msimamo wa ligi.

  • Bayern Munich wanaongoza ligi kwa sasa wakiwa na alama 61 huku RB Leipzig wakiwa nafasi ya pili na alama 57, katika mechi tano za mwisho za head-to-head walizokutana baina ya timu hizi kwa msimu wa 2019/20 Bayern Munich wameshinda mechi 1 na mechi 4 ziliisha kwa sare. 

  • Tunatarajia utakua mpambano wa kukata na shoka kwakua rekodi zinaonesha timu hizi huwa zinaushindani mkubwa zikikutana kwenye michuano mbalimbali. Tuangaizie mechi 5 za mwisho kucheza kwa timu zote mbili na timu nyingine mbalimbali kwenye ligi, RB Leipzig wameshinda mechi 3, wamepoteza 1 na mechi 1 kuisha kwa sare huku Bayern Munich wakishinda mechi zote 5 bila kupoteza hata moja wala kutoa sare.

  • Ingawa inatarajiwa itakua mechi yenye ushindani mkubwa ila ushauri wetu ni Bayern Munich watashinda mechi hii au kuisha kwa sare.

Kwa takwimu zaidi kuhusu mechi hii, dondoo na vidokezo mbalimbali, odds na utabiri wa bure kabisa bofya https://tanzaniatips.com/predictions/id1685-RB-Leipzig-vs-Bayern-Munich-03-04-2021

PariMatch Tanzania

Washirika wakuu

WinPrincess
Best Bonus In Tanzania Bonasi ya ukaribisho

150% BONASI!

Premier Bet
Best Value Bonasi ya ukaribisho

Win Up To 250% Extra In CASH!

PariMatch
Best New Bookmaker 2021 Bonasi ya ukaribisho

PATA BONASI YA KIPEKEE YA
100% PINDI UNAPOWEKA PESA
KWA MARA YA KWANZA

22Bet
Bonasi ya ukaribisho

Get a 100% bonus up to TSZ 300 000

Meridian Bet
Bonasi ya ukaribisho

Rudisha Sehemu Ya Tiketi Iliyoshindwa!

Makala zinazohusiana

Comments

No comments yet

Leave a comment

Thank you!

Thank you for your comment!

It will be published after being moderated