Menyu

Tips of the week 20.03.2021 (Everton vs Manchester City)

| 18.03.2021
Tips of the week 20.03.2021 (Everton vs Manchester City)

Everton vs Manchester City

  • Everton watakua wenyeji wa Man city leo kwenye mchezo utakaopigwa majira ya saa 20:30 usiku katika dimba la Goodison Park kombe la FA. timu hizi hazijakutana muda mrefu katika michuano hii takribani miongo kadhaa kulinganisha na kwenye ligi kuu. Man city wanatarajia kuingia robo fainali ya michuano hii kwa mara 3 mfululizo kama walivyofanya hivyo miaka ya nyuma kidogo.

  • Takwimu zinasema katika mechi za head-to-head walizokutana baina ya timu hizi, Manchester City wana rekodi nzuri ya kihistoria dhidi ya Everton na wameshinda mechi 74 kati ya jumla ya mechi 199 zilizochezwa kati ya timu hizo mbili. Everton imefanikiwa ushindi 68 dhidi ya Manchester City. na mechi 5 za mwisho kucheza hivi karibuni kwenye ligi kuu City wameshinda mechi zote.

  • Tuangaze matokeo ya mechi 5 za hivi karibuni walizocheza baina ya timu hizi na timu zngine katika ligi ambapo kwenye mechi 5, Everton walishinda mechi 3 na kupoteza mechi 2 huku Man city wakishinda mechi 4 na kupoteza moja dhidi ya Man United.

  • Uahauri wetu katika mechi hii ni magoli yatapatikana zaidi ya 1.5 mpaka mechi kuisha.

Kwa takwimu zaidi kuhusu mechi hii, dondoo na vidokezo mbalimbali, odds na utabiri wa bure kabisa bofya https://tanzaniatips.com/predictions/id1606-Everton-vs-Manchester-City-20-03-2021

PariMatch Tanzania

Washirika wakuu

WinPrincess
Best Bonus In Tanzania Bonasi ya ukaribisho

150% BONASI!

Premier Bet
Best Value Bonasi ya ukaribisho

Win Up To 250% Extra In CASH!

PariMatch
Best New Bookmaker 2021 Bonasi ya ukaribisho

PATA BONASI YA KIPEKEE YA
100% PINDI UNAPOWEKA PESA
KWA MARA YA KWANZA

22Bet
Bonasi ya ukaribisho

Get a 100% bonus up to TSZ 300 000

Meridian Bet
Bonasi ya ukaribisho

Rudisha Sehemu Ya Tiketi Iliyoshindwa!

Makala zinazohusiana

Comments

No comments yet

Leave a comment

Thank you!

Thank you for your comment!

It will be published after being moderated