Menyu

Tips of the Day 17.03.2021 (Chelsea vs Atletico Madrid)

| 16.03.2021
Tips of the Day 17.03.2021 (Chelsea vs Atletico Madrid)

Chelsea vs Atletico Madrid

  • Chelsea wanaikaribisha Atletico Madrid stamford bridge katika michuano ya ligi ya mabingwa barani ulaya mzunguko wa 16 mechi ya 2 ya  marudiano. Ikumbukwe mechi ya kwanza chelsea walishinda goli 1-0 wakiwa ugenini imewarahisishia kuwa na matumaini ya kuendelea hatua inayofata (robo fainali)

  • Chelsea wanaongoza kundi E wakiwa na alama 14 huku Atletico Madrid wakiwa nafasi ya 2 na alama 9 kundi A. katika mechi 5 za head-to-head walizokutana baina ya timu hizi toka msimu wa 2014,2017 na huu kwatika ligi ya mabingwa Chelsea walishinda mechi 2, A. Madrid wameshinda mechi 1 na mechi 2 zilimalizika kwa sare.

  • Mechi tano za mwisho walizocheza hivi karibuni katika michuano hii Chelsea wameshinda mechi 3 na mechi 2 kutoka sare huku Madrid wakishinda mechi 2, wamepoteza mechi 1 na mechi 2 kutoka sare.

  • Haitakuwa mechi rahisi haswa ukizingatia kila timu inauhitaji wa kwenda hatua ya robo fainali ya michuano hii, hivyo basi maoni yetu katika mechi hii ni kuisha kwa magoli chini ya 3.5 ndani ya dakika 90.

Kwa takwimu zaidi kuhusu mechi hii, dondoo na vidokezo mbalimbali, odds na utabiri wa bure kabisa bofya https://tanzaniatips.com/predictions/id1653-Chelsea-vs-Atletico-Madrid-17-03-2021

PariMatch Tanzania

Washirika wakuu

WinPrincess
Best Bonus In Tanzania Bonasi ya ukaribisho

150% BONASI!

Premier Bet
Best Value Bonasi ya ukaribisho

Win Up To 250% Extra In CASH!

PariMatch
Best New Bookmaker 2021 Bonasi ya ukaribisho

PATA BONASI YA KIPEKEE YA
100% PINDI UNAPOWEKA PESA
KWA MARA YA KWANZA

22Bet
Bonasi ya ukaribisho

Get a 100% bonus up to TSZ 300 000

Meridian Bet
Bonasi ya ukaribisho

Rudisha Sehemu Ya Tiketi Iliyoshindwa!

Makala zinazohusiana

Comments

No comments yet

Leave a comment

Thank you!

Thank you for your comment!

It will be published after being moderated