Menyu

Tips of the week 14.03.2021 (Arsenal vs Tottenham)

| 12.03.2021
Tips of the week 14.03.2021 (Arsenal vs Tottenham)

Arsenal vs Tottenham

  • Wikiendi hii katika EPL tunaimalizia na London derby kwa mechi kubwa baina ya Arsenal dhidi ya Tottenham itakayopigwa katika uwanja wa Emirates majira ya saa 1:30 usiku. Kulingana na takwimu zetu kuhusu uzito wa mchezo huu mwenyeji Arsenal wana 44% ya ushindi dhidi ya Tottenham 66%. Kwenye msimamo wa ligi Arsenal wapo nafasi ya 10 wakiwa na points 38 huku tottenham wakiwa nafasi ya 7 na points 45.

  • Katika mechi za head-to-head walizokutana baina ya timu hizi kwa misimu misimu miwili iliyopita mpaka sasa, tuangazie mechi tano  za mwisho ambazo wamekutana ambapo Tottenham wameshinda mechi 3 na mechi 2 kuishia kwa sare. Inatarajiwa kuwa mechi yenye upinzani wa aina yake kwa timu zote mbili.

  • Tuangazie mechi 5 za hivi karibuni kwa timu zote mbili walizocheza na timu nyingine katika ligi, Arsenal wameshinda mechi 2, wamepoteza 2 na mechi 1 iliisha kwa sare, kwa upande wa Tottenha wao walishinda mechi 3 na kupoteza 2.

  • Maoni yetu katika game hii ni ushindi kwa Tottenham au mechi kuisha kwa sare.

Kwa takwimu zaidi kuhusu mechi hii, dondoo na vidokezo mbalimbali, odds na utabiri wa bure kabisa bofya https://tanzaniatips.com/predictions/id1545-Arsenal-vs-Tottenham-14-03-2021

PariMatch Tanzania

Washirika wakuu

WinPrincess
Best Bonus In Tanzania Bonasi ya ukaribisho

150% BONASI!

Premier Bet
Best Value Bonasi ya ukaribisho

Win Up To 250% Extra In CASH!

PariMatch
Best New Bookmaker 2021 Bonasi ya ukaribisho

PATA BONASI YA KIPEKEE YA
100% PINDI UNAPOWEKA PESA
KWA MARA YA KWANZA

22Bet
Bonasi ya ukaribisho

Get a 100% bonus up to TSZ 300 000

Meridian Bet
Bonasi ya ukaribisho

Rudisha Sehemu Ya Tiketi Iliyoshindwa!

Makala zinazohusiana

Comments

No comments yet

Leave a comment

Thank you!

Thank you for your comment!

It will be published after being moderated