Menyu

Jinsi ya kucheza kasino mtandaoni na aina zake

| 09.03.2021
Jinsi ya kucheza kasino mtandaoni na aina zake

Jinsi ya kucheza kasino mtandaoni na aina zake

Kasino mtandaoni ni aina ya kamari inayochezwa mtandaoni unachotakiwa ni kua na vifaa kama simu, laptop au kompyuta iliyounganishwa na internet ili uweze kucheza kamari. Utatakiwa kupakua programu husika  au kucheza moja kwa moja kwa kujisajili ili uweze kucheza kwenye tovuti husika. Kasino mtandaoni hujulikana pia kama kamari ya mtandaoni.

Kuna aina nyingi za kasino za mitandaoni na namna zinavyochezwa, leo tutaangazia baadhi ya aina za kasino na jinsi ya kucheza zikiwemo Keno, Poker, Roulette, Blackjack na Sic bo.

  1. Keno ni mchezo wa kubashiri namba unatakiwa kuchagua namba nne ambazo ndio namba zako za bahati utalipia kuanzia 2000 mpaka 50000 na kuendelea. Baada ya hapo utaona namba zinazojitokeza na ikiwa bahati yako basi namba ulizochagua zikifanana basi utakua umeshinda.

  1. Poker ni mchezo wa karata na mchezo wa kimkakati  kuna aina mbalimbali za poker ila texas poker imekua maarufu zaidi. Ili uweze kucheza mchezo huu inabidi uzijue sheria haswa karata tano muhimu na thamani zake. Kadi zenye thamani zaidi ni kopa ya 10, J , Q, K na A, pia Jembe ya 3, 4, 5, 6 na 7 pia kadi nne za 10 ya kisu, maua na jembe na kopa na 3 ya kisu. Kabla mchezo haujaanza lazima kila mchezaji aweke kianzio kiitwacho”ante”kati ya moja ya vidude katika chungu ili uweze kuanza kucheza. Kila mzunguko  utaanza pale wachezaji kwa kupokezana wataweka bet kwa kuweka vidude Zaidi.

Jinsi ya kucheza kasino mtandaoni

  1. Roulette ni aina ya kamari ambayo kuna kua na meza gurudumu ambalo linazungushwa na kuna kua na kimpira. Meza gurudumu ikizungushwa na kimpira kitarushwa katika meza hiyo lakini katika uelekeo tofauti na meza gurudumu, Kimpira kikitua kwenye namba ulizochagua basi utakua umeshinda. Namba hizi zimeandikwa katika meza kuanzia 1 mpaka thelathini na sita.

  1. Blackjack  mchezo huu pia hujulikana kama vingt-Un ni mchezo wa kuoanisha karata ambapo unashindana na dila na inachezwa na karata bunda moja yaani karata hamsini na mbili. Lakini kwenye kasino nyingine za mtandaoni kunaweza kukawa na mpaka bunda sita yaani karata mia tatu kumi na mbili, Lengo kubwa ni kumshinda dila.

  1. sic bo nii mchezo wa kubahatisha unaochezwa na kete tatu zenye namba kila upande, namba hizi zipo katika mtimdo wa doti  au nukta kama ni namba sita basi kuna kua na vidoti sita vidoti vitatu mstari mmoja na vidoti vitatu mstari mwingine. Kwahiyo utashinda tu pale namba ulizotabiri zitaonekana pale kete itakavyotua. Mfano umesema namba tano na namba tano hiyo ikaonekana kwenye kete ilivyotua .

Faida za kucheza kasino mtandaoni ni pamoja na kupewa ofa ya odds nyingi hivyo kuwa na malipo makubwa. Kasino ya mtandaoni imerahisisha sana uchezaji wa kamari pasipokujali upo wapi na saa ngapi hata ukiwa kijijini unaweza ukacheza ilimradi tu uwe na internet ili uweze kuperuzi..

PariMatch Tanzania

Washirika wakuu

WinPrincess
Best Bonus In Tanzania Bonasi ya ukaribisho

150% BONASI!

Premier Bet
Best Value Bonasi ya ukaribisho

Win Up To 250% Extra In CASH!

PariMatch
Best New Bookmaker 2021 Bonasi ya ukaribisho

PATA BONASI YA KIPEKEE YA
100% PINDI UNAPOWEKA PESA
KWA MARA YA KWANZA

22Bet
Bonasi ya ukaribisho

Get a 100% bonus up to TSZ 300 000

Meridian Bet
Bonasi ya ukaribisho

Rudisha Sehemu Ya Tiketi Iliyoshindwa!

Makala zinazohusiana

Comments

No comments yet

Leave a comment

Thank you!

Thank you for your comment!

It will be published after being moderated