Menyu

Tips of the Day 10.03.2021 (Manchester City vs Southampton)

| 09.03.2021
Tips of the Day 10.03.2021 (Manchester City vs Southampton)

Manchester City vs Southampton

  • Baada ya kupoteza mchezo uliopita dhidi ya wapinzani wao Man United walipoifunga Man City bao 2-0 wakiwa nyumbani kwao, wiki hii EPL inaendelea tena kwa mchezo mmoja kupigwa jumatano usiku wa saa 3:00 kwa saa za Afrika mashariki katika dimba la Etihad stadium Man city wataikaribisha Southampton.

  • Ni wazi Man City wamekua na kiwango bora kwa misimu kadhaa tangu timu hiyo ilipokua mikononi kwa kocha Pep Guadiola, kabla ya kupoteza dhidi ya Man United walikua hawajapoteza takribani mechi 21 walizocheza kwenye michuano yote hivi karibuni.

  • Man City ndio vinara wa ligi wanaongoza kwa alama 65 huku wageni wao Southampton wakiwa nafasi ya 14 wakiwa na alama 33. Katika mechi 5 za head-to-head walizokutana baina ya timu hizi kwa misimu miwili iliyopita, Man City wameshinda michezo 4 huku Southampton wakishinda mchezo 1 tu.

  • Ushauri wetu katika mechi hii ni Ushindi kwa Man City au mechi kuisha kwa sare.

Kwa takwimu zaidi kuhusu mechi hii, dondoo na vidokezo mbalimbali, odds na utabiri wa bure kabisa bofya https://tanzaniatips.com/predictions/id1539-Manchester-City-vs-Southampton-10-03-2021

PariMatch Tanzania

Washirika wakuu

WinPrincess
Best Bonus In Tanzania Bonasi ya ukaribisho

150% BONASI!

Premier Bet
Best Value Bonasi ya ukaribisho

Win Up To 250% Extra In CASH!

PariMatch
Best New Bookmaker 2021 Bonasi ya ukaribisho

PATA BONASI YA KIPEKEE YA
100% PINDI UNAPOWEKA PESA
KWA MARA YA KWANZA

22Bet
Bonasi ya ukaribisho

Get a 100% bonus up to TSZ 300 000

Meridian Bet
Bonasi ya ukaribisho

Rudisha Sehemu Ya Tiketi Iliyoshindwa!

Makala zinazohusiana

Comments

No comments yet

Leave a comment

Thank you!

Thank you for your comment!

It will be published after being moderated