Menyu

Jinsi ya kubashiri ligi mbalimbali kwa kutumia tovuti za utabiri wa matokeo

| 05.03.2021
Jinsi ya kubashiri ligi mbalimbali kwa kutumia  tovuti za utabiri wa matokeo

Jinsi ya kubashiri ligi mbalimbali kwa kutumia  tovuti za utabiri wa matokeo

Tovuti au wavuti ni mkusanyiko wa kurasa za mtandaoni au ni anuani ya tovuti kwenye mtandao ambayo huwa inaelezea mambo mbalimbali.Tovuti ya utabiri wa mpira wa miguu zinajihusisha zaidi na utabiri au ubashiri wa matokeo katika soka. Tovuti zinajihusisha na utabiri wa matokeo ikiwemo Tanzaniatips.com.

Ni jinsi gani unaweza kubashiri ligi mbalimbali kwa kutumia tovuti za utabiri wa matokeo.

Kuwa na uelewa na ligi unayobet. Hata kama unatumia tovuti hizi bado haitoshi ni lazima wewe mwenyewe uwe na ujuzi na uelewa wa ligi husika hizi tovuti zinakupa mwangaza tu.

Angalia tofauti ya magoli ya kufunga na kufungwa kwa timu unazobetia. Hata kama unatumia tovuti za kubashiri bado uelewa wako binafsi utakusaidia sana kuoanisha mikeka ya mitandaoni na mkeka wako. Mfano timu inayoongoza ligi itakua na idadi kubwa ya magoli ya kufunga na  kwa timu yenye magoli machache ya kufungwa vitaonyeshwa pia kwenye tovuti husika.

Fuatilia uchambuzi wa kina unaofanywa na tovuti za utabiri wa matokeo. Tovuti hizi huwa zinafanya uchambuzi wa kina kuhusiana na ligi mbalimbali ulimwenguni haswa ligi pendwa ya Uingereza.Ukifuatilia kwa kina na kutumia uelewa wako wa ligi husika basi utakua na uhakika wa kushinda bet zako.Mfano wa tovuti inayobashiri matokeo ni PredictZ.

Jinsi ya kushinda beti

Kujiunga na proram maalumu ya uanachama ili kupokea betting iliyoandaliwa. Baadhi ya tovuti zipo kibiashara zaidi, Unakuwa mwanachama kwa kulipia iwe kwa mwezi au kwa mwaka ili uweze kunufaika na huduma zao ambazo mara nyini huwa sahihi kwa asilimia kubwa. Kwa mfano  Victorspredict uanachama wao ni bure ingawa hawakupi mechi zote unaonjeshwa tu, Mwanachama wa silver analipa dola 25 kwa mwezi na mwanachama wa old dola 35 kwa mwezi. Kuwa mdadisi kwa kuperuzi tovuti za kubasiri matokeo ili kuweza kulinganisha uchambuzi wao.

Kwa kuwa na tabia ya kutembelea tovuti hizi utakuwa na wigo mpana wa kuelewa namna uchambuzi wa ligi mbalimbali ulivyofanyika hivyo kukurahisishia ubashiri wa mechi zako wenye tija.Tovuti za kubashiri huwa zinatoa bonas na promoshen. Baadhi ya tovuti hizi huwa zini ofa ndogo ndogo kama dondoo za ziada, vitabu vya maelekezo ya namna ya kubet na kuwafundisa watu namna ya kubet. Kwa kupitia promosheni hizi unashawishiwa kuzitembelea ili kupata taarifa ambazo zitakusaidia katika kufanya ubashiri katika michezo mbalimbali usiwe na tamaa ya kuweka timu nyingi kama ambavyo tovuti zitakua zimeweka. Tovuti hizi zinakupa tu muongozo na sio muda wote zinakua sahihi chagua mechi chache na ubet bila tamaa ya kuweka mkeka mkubwa ukiwa  na matumaini ya kushinda pesa nyingi.

Mtu anayebet anatakiwa kutotegemea sana tovuti hizi kwani sio mara zote zinakua sahihi kuna muda zinatoa dondoo ambazo sio za kweli, Ujuzi binafsi bado unahitajika sana unapobet.

PariMatch Tanzania homepage

Washirika wakuu

WinPrincess
Best Bonus In Tanzania Bonasi ya ukaribisho

150% BONASI!

Premier Bet
Best Value Bonasi ya ukaribisho

Win Up To 250% Extra In CASH!

PariMatch
Best New Bookmaker 2021 Bonasi ya ukaribisho

PATA BONASI YA KIPEKEE YA
100% PINDI UNAPOWEKA PESA
KWA MARA YA KWANZA

22Bet
Bonasi ya ukaribisho

Get a 100% bonus up to TSZ 300 000

Meridian Bet
Bonasi ya ukaribisho

Rudisha Sehemu Ya Tiketi Iliyoshindwa!

Makala zinazohusiana

Comments

No comments yet

Leave a comment

Thank you!

Thank you for your comment!

It will be published after being moderated