Menyu

Tips of the week 07.03.2021 (Liverpool Vs. Fulham)

| 05.03.2021
Tips of the week 07.03.2021 (Liverpool Vs. Fulham)

Liverpool Vs. Fulham

  • Majogoo wa jiji Liverpool wataikaribisha Fulham katika dimba la Anfield Stadium jumapili hii saa 11:00 jioni. Liverpool wamekua na matokeo mabaya hivi karibuni wametoka kupoteza mechi iliyopita dhidi ya Chelsea goli 1-0. Hali hiyo imewapelekea kushuka mpaka nafasi ya 7 wakiwa na points 43 huku Fulham wakiwa nafasi ya 18 na points 23.

  • Katika mechi 5 za mwisho za head-to-head walizokutana timu hizi tangu mwaka 2013 mpaka msimu ulopita Liverpool wameshinda mechi 4 na mechi 1 kuisha kwwa sare. Liverpool wamekua na msimu mbaya baada ya kupoteza mechi nyingi hivi karibuni na kupelekea kupoteza matumaini ya ubingwa msimu huu kama mabingwa watetezi.

  • Fulham wapo katika mstari wa hatari kwenye msimamo wa ligi na katika mechi 5 za mwsho alizocheza hivi karibuni ameshinda mechi 2 , amepoteza 1 na mechi 2 ziliisha kwa sare huku wenyeji wao Liverpool walishinda mechi 1 na kupoteza mechi 4.

  • Ingawa liverpool ina hali mbaya msimu huu lakini tunatgemea kwenye mechi hii watashinda au kupata sare kutokana na viwango vya wapinzani wao.

Kwa takwimu zaidi kuhusu mechi hii, dondoo na vidokezo mbalimbali, odds na utabiri wa bure kabisa bofya https://tanzaniatips.com/predictions/id1486-Liverpool-vs-Fulham-07-03-2021

PariMatch Tanzania homepage

Washirika wakuu

WinPrincess
Best Bonus In Tanzania Bonasi ya ukaribisho

150% BONASI!

Premier Bet
Best Value Bonasi ya ukaribisho

Win Up To 250% Extra In CASH!

PariMatch
Best New Bookmaker 2021 Bonasi ya ukaribisho

PATA BONASI YA KIPEKEE YA
100% PINDI UNAPOWEKA PESA
KWA MARA YA KWANZA

22Bet
Bonasi ya ukaribisho

Get a 100% bonus up to TSZ 300 000

Meridian Bet
Bonasi ya ukaribisho

Rudisha Sehemu Ya Tiketi Iliyoshindwa!

Makala zinazohusiana

Comments

No comments yet

Leave a comment

Thank you!

Thank you for your comment!

It will be published after being moderated