Menyu

Kuna tofauti gani kati ya tovuti za kubet na tovuti za dondoo za utabiri wa matokeo?

| 04.03.2021
Kuna tofauti gani kati ya tovuti za kubet na tovuti za dondoo za utabiri wa matokeo?

Kuna tofauti gani kati ya tovuti za kubet na tovuti za dondoo za utabiri wa matokeo?

Tovuti za kubet ni aina ya tovuti ambazo kazi yake kubwa ni kufanikisha zoezi zima la kubet au kubashiri michezo mbalimbali kwa njia ya mtandao wakati tovuti za dondoo za utabiri wa matokeo zenyewe kazi yake kubwa ni kutoa mdokezo au taarifa kuhusiana na matokeo ya mchezo fulani, Mfano wa tovuti za kubet ni Sportpesa, Meridian bet, Waka bet, Mkeka bet, Pari match, M bet na tovuti za dondoo za utabiri wa matokeo footballwhispers, BetEnsured, Withdrawin, PredictZ. Sporty Trader, Victor Predict, Tips180.

Zifuatazo ni tofauti kati ya tovuti za kubet na tovuti za dondoo za utabiri wa matokeo. 

  • Tovuti za kubet ni lazima ulipe pesa wakati wa kubet bila kuweka pesa huwezi ukabet, pia zinajiendesha kwa kutegemea wanaobet. Tovuti za dondoo za utabiri nyingi ni za bure unaweza kuangalia bila malipo yoyote yale labda ukitaka uwe mwanachama ndipo itabidi ulipie ada ya uanachama.

Parimatch homepage

  • Tovuti za kubet kuna muda zinapata pasara kama kutakua na makosa ya kiufundi katika uchapisha au uandaaji wa odds hivyo kuwapa watu ushindi na kampuni kupata hasara. Tovuti za dondoo za utabiri wa matokeo mara nyingi hawana hasara maana wanategemea zaidi matangazo na kuuza dondoo za matokeo kwa wanachama..

  • Tovuti za kubet muda mwingine zinaweza zikakupa dondoo ambazo sio za kweli lengo likiwa ni kukupoteza maboya ushindwe beti na wao waingize pesa nyingi kwakua usiposhinda bet hiyo ni faida kwa kampuni. Tovuti za kutoa dondoo za utabiri wa matokeo hujitahidi sana kutoa dondoo ambazo zinawasaidia sana wanaobet ili waweze kushinda na kuziamini tovuti hizo na kurudi tena na tena.

  • Tovuti za kubet zinaajiri watu maalumu wakuchambua na kufanya tathmini za ligi mbalimbali, Wachambuzi hawa ndio wanaotengeneza odds mbalimbali zinawategemea watu hawa katika shughuli zao bila wao kampuni za betting haziwezi kujiendesha. Tovuti za dondoo za utabiri zinakuwa na watu wachache na wanaweza hata wakatumia dondoo kutoka kwa tovuti nyingine maana hawana cha kupoteza.

Tanzania Tips home page

  • Tovuti za kubet zinawajibu wa kulipa kodi serikali kutokana na mapato yanayopatikana kutokana na mapato ya kubashiri. Makampuni mengi nchini Tanzania yanatoza kodi kuanzia asilimia ishirini mpaka asilimia ishirini na tano.T ovuti za dondoo za utabiri wa matokeo nyingi hazilipi kodi na ni kama hazipo kibiashara sana.Zinategemea zaidi kulipwa kutokana na matangazo yanayowekwa katika tovuti zao.

Tovuti hizi zina umuhimu mkubwa sana katika mustakabali mzima wa kiwanda cha kubashiri michezo mbalimbali. Tovuti hizi zinamchango mkubwa sana  katika ubashiri maana imekuwa rahisi sana kubashiri bila kujali upo wapi na saa ngapi, Kitu cha muhimu ni uwepo wa mtandao wa internet ili uweze kuperuzi.

PariMatch Tanzania

Washirika wakuu

WinPrincess
Best Bonus In Tanzania Bonasi ya ukaribisho

150% BONASI!

Premier Bet
Best Value Bonasi ya ukaribisho

Win Up To 250% Extra In CASH!

PariMatch
Best New Bookmaker 2021 Bonasi ya ukaribisho

PATA BONASI YA KIPEKEE YA
100% PINDI UNAPOWEKA PESA
KWA MARA YA KWANZA

22Bet
Bonasi ya ukaribisho

Get a 100% bonus up to TSZ 300 000

Meridian Bet
Bonasi ya ukaribisho

Rudisha Sehemu Ya Tiketi Iliyoshindwa!

Makala zinazohusiana

Comments

No comments yet

Leave a comment

Thank you!

Thank you for your comment!

It will be published after being moderated