Menyu

Tips of the Day 04.03.2021 (Liverpool Vs. Chelsea)

| 03.03.2021
Tips of the Day 04.03.2021 (Liverpool Vs. Chelsea)

Liverpool Vs. Chelsea

  • Alhamisi hii usiku kwenye Uwanja wa Anfield, Liverpool wataikaribisha Chelsea katika pambano la Ligi Kuu England saa 23:15, wakati wakiwa katika mbio za kumaliza nne bora kwa timu zote mbili. Kulingana na takwimu zetu kwenye mchezo huu, Chelsea ina asilimia 79 ya ubora wa kikosi chao kuliko 21% ya mwenyeji wao. Hivi sasa, Liverpool inakaa nafasi moja nyuma na alama 43 nyuma ya wageni wao Chelsea wakiwa na points 44 nafasi ya 5 kwenye msimamo wa ligi.

  • Katika mechi za head-to-head kati ya timu hizi katika msimu uliopita katika mikutano mitano, Liverpool ilishinda mechi 3, Chelsea ilishinda mchezo 1, na 1 ilimalizika kwa sare. Itakuwa pambano zuri sana na lenye ushindani kwani, bila shaka, lengo kuu la timu ni kupata kumaliza nne bora kupata uhakika wa tiketi katika Ligi ya Mabingwa Ulaya  msimu ujao.

  • Sote tunajua Liverpool haina kiwango kizuri msimu huu kutokana na majeraha kwenye kikosi chao. Katika mechi tano za mwisho zilizochezwa hivi karibuni kwa timu zote kwenye ligi, Liverpool ilishinda mchezo 1 na kupoteza 4 wakati Chelsea haijafungwa ilishinda mechi 3 na michezo 2 ilimalizika kwa sare.

Mapendekezo yetu katika mchezo huu ni ushindi kwa Chelsea au mechi kuisha kwa sare.

Kwa takwimu zaidi kuhusu mechi hii, dondoo na vidokezo mbalimbali, odds na utabiri wa bure kabisa bofya https://tanzaniatips.com/predictions/id1479-Liverpool-vs-Chelsea-04-03-2021

PariMatch Tanzania

Washirika wakuu

WinPrincess
Best Bonus In Tanzania Bonasi ya ukaribisho

150% BONASI!

Premier Bet
Best Value Bonasi ya ukaribisho

Win Up To 250% Extra In CASH!

PariMatch
Best New Bookmaker 2021 Bonasi ya ukaribisho

PATA BONASI YA KIPEKEE YA
100% PINDI UNAPOWEKA PESA
KWA MARA YA KWANZA

22Bet
Bonasi ya ukaribisho

Get a 100% bonus up to TSZ 300 000

Meridian Bet
Bonasi ya ukaribisho

Rudisha Sehemu Ya Tiketi Iliyoshindwa!

Makala zinazohusiana

Comments

No comments yet

Leave a comment

Thank you!

Thank you for your comment!

It will be published after being moderated