Menyu

Kwanini kampuni za kubet zinachukia uwepo wa tovuti za utabiri matokeo?

| 02.03.2021
Kwanini kampuni za kubet zinachukia uwepo wa tovuti za utabiri matokeo?

Kwanini kampuni za kubet zinachukia uwepo wa tovuti za utabiri matokeo?

Kampuni za kubet ni Kampuni zilizosajiliwa kisheria nchini Tanzania kwaajili ya kufanya biashara ya kubashiri michezo mbalimbali. Tovuti za utabiri wa matokeo ni tovuti zinazojihusisha na kutabiri au kutoa dondoo muhimu kuhusiana na matokeo ya mchezo wa mpira wa miguu. Ni kweli kampuni za kubet zinachukia uwepo wa tovuti za utabiri wa matokeo kwa sababu mbalimbali zikiwemo zifuatazo; 

  • Wanaobet wanafumbuliwa macho kuhusiana na kubashiri michezo mbalimbali kutokana na taarifa zitolewazo na tovuti hizi. Yawezekana anayebet alikua hajui kama kuna mchezaji muhimu hatocheza kwa kujua hilo atabet kwa kuipa timu pinzani na kushinda bet. 
  • Kupoteza mapato maana kampuni itawalipa watu wengi zaidi. Watu wanaofuatilia bet kwenye tovuti wanaweza wakashinda  bet  kwa kufuatilia dondoo mbalimbali hivyo kulipa mamilion ya shilingi hivyo kupata hasara. Tovuti hizi zinatishia uhai wa kampuni za kubashiri michezo mbalimbali. Tovuti hizi kama zikiendelea na kutoa dondoo zitakazosaidia watu kushinda bet maana yake makampuni yatakua yanalipa pesa nyingi kwa washindi matokeo yake kutishia uhai wa kampuni kwa kulipa mamilioni ya shilingi kwa washindi.

Jinsi ya kushinda beti kwa dondoo za ubashiri

  • Kampuni za kubet zinalipa kodi kubwa sana nchini Tanzania na gharama nyingine za uendeshaji wa kampuni. Tovuti za kubashiri hazilipi ushuru wa aina yoyote maana nyingi hazipo nchini Tanzania. Hivyo basi kampuni nyingi za kubet zinaweza kupoteza mapato mengi sana na kulipa kodi kubwa serikalini na kutishia makampuni hayo kufilisika au kupunguza ufanisi katika biashara. 
  • Tovuti za utabiri wa matokeo zinaweza zikawafanya wanaobet kuwa tegemezi kwa tovuti hizi pale wanapogundua kua tovuti fulani inatoa ubashiri sahihi mara zote. Hivyo watu hawa hawatakua wakitumia akili zao isipokua kuzitegemea tovuti hizi zinazowasaidia kubashiri kwa usahihi zaidi. 
  • Tovuti hizi zinatoa miongozo na elimu mbalimbali juu ya ubashiri. Wabashiri wakishajua kua tovuti fulani inatoa sana miongozo na elimu sahihi ya namna ya kubet na wakashinda itavutia watu wengi.Hivyo watu wengi watakua wanashinda na makampuni ya kubet kupata hasara. 

Tovuti hizi zinaweza zikawa zinawarubuni wachezaji kwa kuwahonga mamilioni ya pesa ili zizidi kuaminika. Tovuti hizi zinaweza zikafanya hivyo ili ziweze kuendelea kuaminika na kutengeneza mamilioni ya pesa na wanaobet pia kupata pesa nyingi kwa kushinda bet, Hii hufanyika kwa siri sana ili tovuti hizo ziwezekuwa maarufu kwa kutembelewa na watu wengi na pia tovuti hiyo hupata matangazo mbalimbai ambayo huipa mapato tovuti hiyo. Ingawa kampuni za kubet zinazichukia tovuti za kutabiri matokeo tovuti hizi zimekua na msaada mkubwa sana kwa wanaobet. Tovuti hizi zimefanya mchezo wa kubet kuwa mrahisi sana kutokana na kutoa matokeo chanya. Pamoja na yote bado mtu anayebet hashauriwi kutegemea moja kwa moja tovuti za kubashiri matokeo bali atumie akili yake hata kama mambo yakienda mrama asiwe na mtu wa kumlaumu.

PariMatch Tanzania

Washirika wakuu

WinPrincess
Best Bonus In Tanzania Bonasi ya ukaribisho

150% BONASI!

Premier Bet
Best Value Bonasi ya ukaribisho

Win Up To 250% Extra In CASH!

PariMatch
Best New Bookmaker 2021 Bonasi ya ukaribisho

PATA BONASI YA KIPEKEE YA
100% PINDI UNAPOWEKA PESA
KWA MARA YA KWANZA

22Bet
Bonasi ya ukaribisho

Get a 100% bonus up to TSZ 300 000

Meridian Bet
Bonasi ya ukaribisho

Rudisha Sehemu Ya Tiketi Iliyoshindwa!

Makala zinazohusiana

Comments

No comments yet

Leave a comment

Thank you!

Thank you for your comment!

It will be published after being moderated