Menyu

Je, tovuti za kutabiri matokeo zinasaidia kwenye kubet?

| 01.03.2021
Je, tovuti za kutabiri matokeo zinasaidia kwenye kubet?

Je, tovuti za kutabiri matokeo zinasaidia kwenye kubet?

Tovuti  ni mkusanyiko wa kurasa mbalimbali za mtandaoni ambazo zinakua zimebeba taarifa fulani. Tovuti za kutabiri matokeo ni  zile tovuti ambazo zinajihusisha zaidi na utoaji wa dondoo mbalimbali katika ubashiri wa mpira wa miguu na michezo mbalimbali, Tovuti hizi zipo nyingi na duniani kote na katika michezo mbalimbali. Tovuti zifuatazo zinajihusisha na utabiri wa matokeo footballwhispers, BetEnsured, Windrawwin, PredictZ, Sporty Trader, Victor predict, Tips 180.

Tovuti za kutabiri matokeo zinasaidia kwenye kubet kwa sababu zifuatazo.

  1. Tovuti zinatoa dondoo mbalimbali ambazo zitawasaidia wanaobet kupata matokeo chanya. Yawezekana mtu alipitia dondoo hizi katika tovuti hizo na akashinda na hivyo kujiingizia kipato. Mfano msimamo wa ligi husika, wafungaji wanaoongoza, timu inashinda zaidi uwanja wa nyumbani au wa ugenini. Dondoo hizi zitakusaidia sana wakati wa kubet.

  2. Kupata uchambuzi wa mechi husika kabla mchezo haujaanza ambao utamsaidia anayebet. Anayebet anaweza akabet kwa kuangalia uchambuzi uliofanyika kwenye tovuti fulani na akafanikiwa kushinda bet hiyo. Mechi za siku husika huchambuliwa kwa kina kiasi kwamba hata kama huna uelewa basi utapata mwanga utakaokusaidia wakati wa kubet.

  3. Tovuti zinatoa taarifa muhimu ambazo zinaweza kumsaidia mtu anayebet. Taarifa zinaweza zikawa juu ya wachezaji muhimu watakaocheza na ambao hawachezi, majeruhi wangapi na wangapi wana kadi nyekundu. Kupitia taarifa hizi mtu anayebet anaweza akatumia taarifa hizi na akafanikiwa kushinda bet.

    Tanzania Tips
  4. Tovuti nyingine hulipisha watu ili waweze kusaidiwa katika kuandaa mikeka yao. ’Kubet’ na kupata matokeo chanya na tovuti hizi kujiingizia mamilioni ya pesa na wanaobet pia kupata pesa nyingi. Watu hawa huwa wanachukua wanachama ambapo hulipa kwa mwezi,miezi sita mpaka mwaka. Wanachama hulipishwa kuanzia dola ishirini kwa mwezi mpaka dola mia moja kwa mwaka. Tovuti husika huandaa mikeka na wanachama huona mikeka iliyoandaliwa na kuichukua na kujitengenezea mikeka yao.

  5. Kupata uchambuzi wa kina kuhusiana na falsafa za makocha ambazo husaidia kupata matokeo chanya. Baadhi ya makocha huwa na falsafa ambazo huathiri matokeo kutegemeana na timu inayocheza nayo.Mfano kocha anaweza akabadili mfumo wa uchezaji kwa kujilinda zaidi kama atakutana na timu kali ili tu kuepuka kufungwa magoli mengi au akaamua kuleta falsafa ya kushambulia zaidi kutegemea na uzito wa mechi ili aweze kupata magoli mengi. Ukizijua falsafa hizi itakua rahisi kwako wakati wa kubet.Dondoo hizi zote zinapatika katika tovuti hizi za kubashiri matokeo.

  6. Kupata vikosi kamili vitakavyocheza. Tovuti hizi huwa zinaweka majina ya wachezaji watakaoanza kucheza na wale wa akiba.Mara nyingi majina ya watakaocheza huwekwa kabla ya saa mbili au tatu kabla mchezo haujaanza. Hii itakusaidia sana kujua washambuliaji watakaoanza, mabeki, wenye kadi za njano, Hivyo itakusaidia sana katika kubet kwa mafanikio.

Ingawa tovuti hizi zinasaidia katika kutabiri matokeo na kuna wanaozifuatilia na kushinda bado tovuti hizi zisitegemewe kwa asilimia mia moja kwamba ndio kila kitu. Anayebet anatakiwa atumie ujuzi wake mwenyewe ili asiwe na wa kumlaumu hapo baadaye.

PariMatch Tanzania

Washirika wakuu

WinPrincess
Best Bonus In Tanzania Bonasi ya ukaribisho

150% BONASI!

Premier Bet
Best Value Bonasi ya ukaribisho

Win Up To 250% Extra In CASH!

PariMatch
Best New Bookmaker 2021 Bonasi ya ukaribisho

PATA BONASI YA KIPEKEE YA
100% PINDI UNAPOWEKA PESA
KWA MARA YA KWANZA

22Bet
Bonasi ya ukaribisho

Get a 100% bonus up to TSZ 300 000

Meridian Bet
Bonasi ya ukaribisho

Rudisha Sehemu Ya Tiketi Iliyoshindwa!

Makala zinazohusiana

Comments

No comments yet

Leave a comment

Thank you!

Thank you for your comment!

It will be published after being moderated