Menyu

Tips of the week 27.02.2021 (Sevilla Vs. Barcelona)

| 26.02.2021
Tips of the week 27.02.2021 (Sevilla Vs. Barcelona)

Sevilla Vs. Barcelona

  • Weekend hii ligi kuu mbalimbali zinaendelea na leo tuangazie ligi kuu La Liga nchini Hispania, jumamosi hii Sevilla wanawakaribisha Barcelona katika dimba la Estadio Ramon saa 12:15 jioni. Wenyeji katika mechi hii wamepewa 54% ya ubora wa kikosi chao dhidi ya 46% ya wageni wao Barcelona na katika msimamo wa ligi Sevilla wapo nafasi ya 4 kwa points 48 huku Barcelona wakiwa nafasi 3 na points 50.

  • Kwenye mechi tano za head-to-head walizokutana baina ya timu hizi ndani ya misimu 2 iliyopita na msimuu pia Sevilla wameshinda mechi 1, Barcelona wameshinda mechi 2 na mechi 2 ziliisha kwa sare.

  • Katika mechi 5 za mwisho kwa timu zote walizocheza katika ligi hivi karibuni, Sevilla wameshinda mechi zote tano huku Barcelona wakishinda mechi 4 na moja kuishia kwa sare. Inatarajiwa kua mechi kali na yenye ushindani mkubwa kwakua timu zote zinahitaji matokeo ili kujiweka katika nafasi nzuri kwenye msimamo.

  • Mapendekezo yetu na ushauri wetu katika mechi hii ni eidha Barcelona kushinda au mechi kuisha kwa sare.

 Kwa takwimu zaidi kuhusu mechi hii, dondoo na vidokezo mbalimbali, odds na utabiri wa bure kabisa bofya https://tanzaniatips.com/predictions/id1447-Sevilla-vs-Barcelona-27-02-2021

Parimatch Tanzania

Washirika wakuu

WinPrincess
Best Bonus In Tanzania Bonasi ya ukaribisho

150% BONASI!

Premier Bet
Best Value Bonasi ya ukaribisho

Win Up To 250% Extra In CASH!

PariMatch
Best New Bookmaker 2021 Bonasi ya ukaribisho

PATA BONASI YA KIPEKEE YA
100% PINDI UNAPOWEKA PESA
KWA MARA YA KWANZA

22Bet
Bonasi ya ukaribisho

Get a 100% bonus up to TSZ 300 000

Meridian Bet
Bonasi ya ukaribisho

Rudisha Sehemu Ya Tiketi Iliyoshindwa!

Makala zinazohusiana

Comments

No comments yet

Leave a comment

Thank you!

Thank you for your comment!

It will be published after being moderated