Menyu

Jinsi ya Kubet aina mbalimbali za over/under na maana zake

| 23.02.2021
Jinsi ya Kubet aina mbalimbali za over/under  na maana zake

Jinsi ya Kubeti aina mbalimbali za over/under  na maana zake.

Kubeti kwa over na under ni aina ya ubashiri inayotegemeana na idadi ya magoli au pointi.Idadi ya magoli inaweza ikawa juu ya magoli fulani au chini ya magoli fulani ili ubashiri wako uweze kushindi.Aina hii ya ubashiri muda mwingine hujulikana kama ‘Total’ ikiwa na maana jumla ya idadi ya magoli uliyobashiri ndiyo itakuwezesha kushinda.

Kuna aina mbalimbali za kubet kwa over na under kama zilivyojadiliwa hapa chini.

Kubeti under 2.5 maana yake ni chini ya au pungufu ya kwa maana rahisi ni kwamba magoli yasizidi mawili ndipo bet yako itakua imeshinda.Mfano magoli yanaweza yakawa 0-2,0-0,1-0,1-1 au 2-0.Kubet under 2 maana yake yasifike magoli mawili. Mfano wa under 2 ni ubashiri  1-0,0-0, au 0-1.Kwa kifupi inatakiwa magoli yasifike mawili ili bet yako iweze kushinda.

  1. Kubet over 2.5 ni ubashiri ambao magoli yatapatikana matatu au zaidi ya matatu ili uweze kushinda.

  2. Under 3.5 ni bet ya dakika 90 ambapo unabet magoli chini ya matatu mfano 2-1.Kubet over 3.5 ni bet ya dakika tisini ambapo unabasiri magoli yatakua zaidi ya  matatu mfano 4-0.

Over/under 2.5

Aina hii ya kubet inahitaji uwe na ufahamu wa kutosha dhidi ya timu unazobetia zingatia yafuatayo ili uweze kushinda bet.

  • Fanya utafiti wa kutosha kabla hujaweka bet yako, Hapa utabeti kwa mafanikio na utashinda bet. Je hali ya hewa ipoje ikiwa mechi inayochezwa ikaathiriwa na hali ya hewa mfano mvua, au kuna barafu au kuna upepo mkali au baridi kali basi kwa namna moja au nyingine itaathiri matokeo ya mchezo husika.
  • Safu ya ulinzi ipo imara?Timu zinazocheza kama zikiwa na ulinzi imara mabeki wote wapo au hawapo itakusaidia sana katika aina hii ya ubashiri. Mathalani kama timu moja haina beki wake mahiri labda kwasababu ya majeraha au kadi nyekundu itakusaidia sana katika ubashiri wako.
  • Angalia idadi ya magoli kwa kila timu, Angalia takwimu za timu zilizokutana kama zilikua kali ama sivyo na idadi ya magoli ya kufunga na kufungwa hii itakusaidia ujue uweke under au over na kushinda bet yako.
  • Angalia makocha na falsafa zao kwa ujumla, Kuna makocha wanaanggalia uzito wa mechi na idadi ya magoli. Kocha anaweza akaweka msisitizo wa kuzuia zaidi ili kuzuia uwezekano wa kufungwa magoli mengi au anaweza akaweka mfumo wa kushambulia zaidi ili kupata magoli mengi zaidi. Ukizijua falsafa za makocha basi itakusaidia sana.

Pia wanao bet wanatakiwa watambue kwamba unaweza ukawa na ujuzi na umefanya utafiti kuhusiana na timu unazobet na bado ukashindwa kushinda.Ni lazima kutambua kua huu ni mchezo wa kubashiri na huna uhakika wa kushinda bet kwa asilimia mia moja.

PariMatch Tanzania

Washirika wakuu

WinPrincess
Best Bonus In Tanzania Bonasi ya ukaribisho

150% BONASI!

Premier Bet
Best Value Bonasi ya ukaribisho

Win Up To 250% Extra In CASH!

PariMatch
Best New Bookmaker 2021 Bonasi ya ukaribisho

PATA BONASI YA KIPEKEE YA
100% PINDI UNAPOWEKA PESA
KWA MARA YA KWANZA

22Bet
Bonasi ya ukaribisho

Get a 100% bonus up to TSZ 300 000

Meridian Bet
Bonasi ya ukaribisho

Rudisha Sehemu Ya Tiketi Iliyoshindwa!

Makala zinazohusiana

Comments

No comments yet

Leave a comment

Thank you!

Thank you for your comment!

It will be published after being moderated