Menyu

Tips of the Day 24.02.2021 (Atalanta Vs. Real Madrid)

| 23.02.2021
Tips of the Day 24.02.2021 (Atalanta Vs. Real Madrid)

Atalanta Vs. Real Madrid

  • Ligi ya mabingwa barani Ulaya (UEFA Champion League) inaendelea jumatano hii wenyeji Atalanta wakiwakaribisha vijana wa Zidane Real Madrid katika dimba la Stadio Atleti Azzur nchini Italy. Kulingana na takwimu zetu Atalanta wana 44% ya ushindi katika mechi hii dhidi ya 66% ya wapinzani wao.

  • Hii ndo itakua kwa mara ya kwanza baina ya timu hizi kukutana kwenye head-to-head game kwenye ligi ya mabingwa balani Ulaya. Atalanta wapo nafasi ya pili katika kundi D wakiwa na point  11 huku wapinzani wao Madrid wakiongoza kundi B kwa point 10.

  • Katika mechi za 5 za mwisho walizocheza hivi karibuni timu zote kwenye ligi zao, matokeo ni Atalanta walishinda mechi 3 na kutoa sare mechi 2 huku R. Madrid wakishinda mechi 4 na kupoteza mechi 1.

  • Maoni yetu katika mechi hii ni Real Madrid kushinda au mchezo kuisha kwa sare.

Kwa takwimu zaidi kuhusu mechi hii, dondoo na vidokezo mbalimbali, odds na utabiri wa bure kabisa bofya https://tanzaniatips.com/predictions/id1457-Atalanta-vs-Real-Madrid-24-02-2021

PariMatch Tanzania

Washirika wakuu

WinPrincess
Best Bonus In Tanzania Bonasi ya ukaribisho

150% BONASI!

Premier Bet
Best Value Bonasi ya ukaribisho

Win Up To 250% Extra In CASH!

PariMatch
Best New Bookmaker 2021 Bonasi ya ukaribisho

PATA BONASI YA KIPEKEE YA
100% PINDI UNAPOWEKA PESA
KWA MARA YA KWANZA

22Bet
Bonasi ya ukaribisho

Get a 100% bonus up to TSZ 300 000

Meridian Bet
Bonasi ya ukaribisho

Rudisha Sehemu Ya Tiketi Iliyoshindwa!

Makala zinazohusiana

Comments

No comments yet

Leave a comment

Thank you!

Thank you for your comment!

It will be published after being moderated