Menyu

Tips of the week 21.02.2021 (Arsenal vs Man City)

| 19.02.2021
Tips of the week 21.02.2021 (Arsenal vs Man City)

Arsenal vs Manchester City

  • Jumapili hii ya tarehe 21.02.2021 katika ligi kuu Uingereza Arsenal wanawakaribisha Man City katika dimba la Emirates stadium saa 1:30 usiku. Takwimu zinaonesha Man city wana 68% dhidi ya Arsenal 32% za ubora katika mechi hii, na kwenye msimamo wa ligi Man city ndio vinara wa ligi hii wakiwa na points 56 huku Arsenal wakiwa nafasi ya 10 na points 34.

  • Man City wamekua na mfululizo mzuri wa ushindi kwa hivi karibuni katika ligi na kwenye mechi tano za mwisho za head-to-head walizokutana baina ya timu hizi ndani ya msimu wa 19/2020 Man City wameshinda mechi 4 na Arsenal walishinda mechi 1.

  • Tuangazie matokeo ya mechi 5 za mwisho walizocheza hivi karibuni kwa timu zote dhidi ya timu nyingine katika ligi na michuano megine Arsenal wameshinda mechi 2, kapoteza 2 na mechi 1 iliisha kwa sare huku Man City wameshinda mechi zote 5 bila kupoteza hata moja.

  • Tunaamini itakua mechi ngumu na yenye ushindani mkubwa lakini maoni yetu na ushauri kama unataka kubeti basi wape Man City ushindi au droo ndani ya dakika 90.

Kwa takwimu zaidi kuhusu mechi hii, dondoo na vidokezo mbalimbali, odds na utabiri wa bure kabisa bofya https://tanzaniatips.com/predictions/id1341-Arsenal-vs-Manchester-City-21-02-2021

PariMatch Tanzania

Washirika wakuu

WinPrincess
Best Bonus In Tanzania Bonasi ya ukaribisho

150% BONASI!

Premier Bet
Best Value Bonasi ya ukaribisho

Win Up To 250% Extra In CASH!

PariMatch
Best New Bookmaker 2021 Bonasi ya ukaribisho

PATA BONASI YA KIPEKEE YA
100% PINDI UNAPOWEKA PESA
KWA MARA YA KWANZA

22Bet
Bonasi ya ukaribisho

Get a 100% bonus up to TSZ 300 000

Meridian Bet
Bonasi ya ukaribisho

Rudisha Sehemu Ya Tiketi Iliyoshindwa!

Makala zinazohusiana

Comments

No comments yet

Leave a comment

Thank you!

Thank you for your comment!

It will be published after being moderated