Menyu

JE! NI MCHEZO GANI BORA KWA KUBASHIRI?

| 18.02.2021
JE! NI MCHEZO GANI BORA KWA KUBASHIRI?

JE! NI MCHEZO GANI BORA KWA KUBASHIRI?

Michezo ya kubashiri ni mingi na ni bora kulingana na mchezaji mwenyewe anavyopendelea na uelewa wake kuhusu mchezo anao upenda. Wakati mwingine mchezaji anaweza kucheza kwa sababu Fulani anacheza na anapata matokeo nay eye akaamua kucheza sawasawa na mwenzake kwa kuwa tu anapata matokeo ya ushindi inaweza kuwa anaongozwa na  mihemko.

Ni kawaida sana na walio wengi wanabeti kwa sababu ya flani anabeti, unaweza kubeti mchezo wa tenisi lakini kumbe uelewa wako mkubwa upo kwenye mchezo wa basketball kwa kutoligundua hilo likakufanya ukaanguka kwa kuwa tu unabeti kwa hisia na sio uhalisia wako. Kupatikana kwa mtu kihisia ni kutokujua nini unatakiwa kufanya kabla ya kubeti  kutazama timu yako unayoipenda inapoteza mchezo au misukosuko ya kushinda au kushindwa na kupoteza beti. Ni kawaida kuhisi huzuni anapopoteza beti kwa Yule anayecheza pasipo kujua ni mchezo gani kwake ni sahihi kubeti.

Jambo la muhimu kwa mchezaji ni kujifunza kwanza kuchagua mchezo gani kwake ni bora kubashiri, nikiangalia michezo mingi ya kubeti karibu yote odds zake zinafanana na kama kutofautiana ni kwa kiwango kidogo sana, ila napendekeza mpira wa miguu kuwa ndio mchezo bora na unaoongoza kwa sasa kwa kuwa na idadi kubwa ya wachezaji katika historia na kumbukizi za Makampuni yaliyo mengi nchini.

Nazungumzia mpira wa miguu (soka) kama mchezo unaofuatiliwa na watu wengi na ndio mchezo unamiliki mashabiki wengi sana duniani kuliko mchezo mwingine wowote. Kwa nini soka au mpira wa miguu aina ya mchezo  ambao unaweza kuweka ubashiri wako katika matokeo ya mechi katika vipindi vyote viwili. Wachezaji hubashiri nani atashinda mwisho wa kipindi cha kwanza na nani atashinda mwisho wa mechi. Mara nyingi ubashiri wa namna hii ushauriwa kutumika kwa wachezaji wazoefu. 

Mchezo mashughuli kwa kubeti

Katika mpira wa miguu kuna beti za kona, ambazo zinakupa uhuru wa kubashiri ni idadi ngapi za kona zitakazo pigwa katika mchezo husika. Wachezaji wanaweza kubashiri idadi ya kona kama zitaenda kua juu au chini ya kiwango kilichowekwa na kampuni ya kubashiri. Pia unaweza kukuta masoko kama idadi ya kona katika kipindi fulani kama kipindi cha kwanza au idadi ya kona kwenye timu fulani. 

Pia mchezo wa soka unakupa ubashiri wa kadi  urahisi wa beti hii ni pale  ambapo utabashiri idadi ya kadi (njano ama nyekundu) zitakazotolewa katika mechi moja kama zitaenda kua zaidi ama pungufu kutokana na kiwango kilichowekwa na kampuni ya ubashiri. Ubashiri wa kadi mara nyingi hutumika kwa wachezaji wazoefu. 

Kingine kinachofanya mchezo huu wa soka kuwa bora kuliko michezo mingine ni mfumo wa vidokezo vyake vilivyo alama zinazotolewa na Makampuni pamoja na aina zake za beti ni nzuri na nafuu kwa mchezaji kushinda .

PariMatch Tanzania

Washirika wakuu

WinPrincess
Best Bonus In Tanzania Bonasi ya ukaribisho

150% BONASI!

Premier Bet
Best Value Bonasi ya ukaribisho

Win Up To 250% Extra In CASH!

PariMatch
Best New Bookmaker 2021 Bonasi ya ukaribisho

PATA BONASI YA KIPEKEE YA
100% PINDI UNAPOWEKA PESA
KWA MARA YA KWANZA

22Bet
Bonasi ya ukaribisho

Get a 100% bonus up to TSZ 300 000

Meridian Bet
Bonasi ya ukaribisho

Rudisha Sehemu Ya Tiketi Iliyoshindwa!

Makala zinazohusiana

Comments

No comments yet

Leave a comment

Thank you!

Thank you for your comment!

It will be published after being moderated