Menyu

IPI NI NJIA SALAMA NA YENYE UFANISI ZAIDI KATI YA KUBETI MTANDAONI NA KAWAIDA KUPITIA MAWAKALA?

| 17.02.2021
IPI NI NJIA SALAMA NA YENYE UFANISI ZAIDI KATI YA KUBETI MTANDAONI NA KAWAIDA KUPITIA MAWAKALA?

IPI NI NJIA SALAMA NA YENYE UFANISI ZAIDI KATI YA KUBETI MTANDAONI NA KAWAIDA KUPITIA MAWAKALA?

Kubeti kupitia mtandaoni ni bora zaidi kuliko kubeti kwa Wakala kwa sababu taarifa zako za siri zitaweza kufichika isipo kuwa wahusika wa mchezo huo ndio watakao weza kuziona taarifa zako pindi zitakapo wafikia. Hivyo kubeti mtandaoni huwa ni njia nyepesi zaidi za uchezaji wa michezo ya kubashiri kuliko ile ya kubeti kawaida kupitia kwa mawakala.

Namna ya kubeti mtandaoni

Kubeti kwa kawaida hutumia mlolongo mrefu kwa mchezaji pindi unapoenda kubeti kwa mawakala, inawezekana taarifa zako zikaonekana na watu wengi ambao wana weza kusababisha ushindi wako kupotea. Kubeti mtandaoni kunaweza kuchezwa na watu wote walio fikia umri wa miaka kumi na nane na kuendelea.

Kuna tovuti nyingi na ni nzuri hapa nchini ila unashauriwa kuchagua Kampuni moja nzuri na ya uhakika ambayo utaitumia kubeti na unashauriwa kubeti kwa kiasi. Watu wengi wakisikia kubeti moja kwa moja wana husisha ni mpira wa miguu peke yake ndio unaweza kubetia, ni kweli wapo sawa ila beti sio kwenye mpira wa miguu tu hata kwenye michezo kama cricket, basketball, ngumi na michezo mingine na hiyo ni sehemu tu faida ya kubeti mtandaoni ukilinganisha na kawaida kupitia kwa Mawakala.

Japo kubeti mtandaoni na kubeti kawaida kupitia kwa Mawakala kote kuna unafuu na ni sahihi kwa mchezaji kubeti lakini tunapo zungumzia kwenda na muda kubeti mtandaoni kutakufanya usipoteze muda kwa sababu utatumia smatpone, laptop au kifaa chochete kinacho sapoti intaneti. kubeti kawaida kupitia kwa Mawakala unaweza kukuta foleni ya kubeti pia vifaa vya kutumia kubeti kama vile kalamu na sehemu ya kubetia inaweza kuwa bize sana kutokana na foleni hivyo ikakufanya kuharibu ratiba zako zote.

Njia salam ya kubeti mtandaoni

Pia kubeti kawaida kupitia kwa Mawakala kunaweza kuwa na usumbufu au kutokuelewana kati ya mchezaji na wakala kwani sio Mawakala wote wanaweza kuwamudu wateja wao wanao wahudumia kutokana na Mawakala wengi wanaotumika na michezo ya kubeti ni hawana elimu ya kutosha hivyo huduma na uelewa wao unakuwa ni mdogo ukilinganisha na kubeti kwenye mtandao kila kitu kinakuwa kimesetiwa hivyo umpa mchezaji kuwa huru pindi anapocheza na hata anapoangalia dondoo na vidokezo vya beti yake vinamhitaji mchezaji awe na bando tu.

Kubashiri michezo mtandaoni ni unabashiri mubashara wakati mchezo unaendelea ni kuweka beti katika michezo ya soka na mingineyo baada ya mchezo kuanza. Ikilinganisha na kubetii kawaida uwezi kubeti ukiwa mchezo unaendelea ila kawaida unatakiwa kubeti kabla ya mchezo kuanza kubashiri mubashara ni tofauti kidogo na sio kila mtu anaweza kubashiri mubashara.

 PariMatch

Washirika wakuu

WinPrincess
Best Bonus In Tanzania Bonasi ya ukaribisho

150% BONASI!

Premier Bet
Best Value Bonasi ya ukaribisho

Win Up To 250% Extra In CASH!

PariMatch
Best New Bookmaker 2021 Bonasi ya ukaribisho

PATA BONASI YA KIPEKEE YA
100% PINDI UNAPOWEKA PESA
KWA MARA YA KWANZA

22Bet
Bonasi ya ukaribisho

Get a 100% bonus up to TSZ 300 000

Meridian Bet
Bonasi ya ukaribisho

Rudisha Sehemu Ya Tiketi Iliyoshindwa!

Makala zinazohusiana

Comments

No comments yet

Leave a comment

Thank you!

Thank you for your comment!

It will be published after being moderated