Menyu

JE! NI CHANGAMOTO ZIPI HUTOKANA NA KUBETI MTANDAONI?

| 08.02.2021
JE! NI CHANGAMOTO ZIPI HUTOKANA NA KUBETI MTANDAONI?

JE! NI CHANGAMOTO ZIPI HUTOKANA NA KUBETI MTANDAONI.

Kubeti mtandaoni ni bora sana na kama mtu angependa kubeti au kuomba ushauri wa njia ipi atumie kufanya beti zake kwangu mimi ningemshauri atumie njia ya mtandao. Pamoja na kuwepo kwa ongezeko la wachezaji wanao beti mtandaoni bado kubeti huko kuna changamoto kadhaa japo sio nyingi sana kama zile za kubeti kawaida kwa kutumia mawakala.

  1. Changamoto kubwa wanaokutana nao walio wengi ni kuwepo kwa makampuni mengi yasiyo aminika ambayo yamepelekea watu wengi kutapeliwa pindi wanapo beti kwa kutumia makampuni hayo. ukweli usio pingika ni kwamba imekuwa ni ngumu sana kwa wachezaji walio wengi kuweka pesa zao mtandao kwa kuhofia kutapeliwa na hiyo ni changamoto iliyo pelekea  biashara ya kubeti mtandaoni kutoaminika na kubeti kawaida kupitia kwa mawakala kuwa na wateja wengi kuliko wa mtandaoni.
  2. Kuwepo kwa ongezeko la Makampuni kumefanya kuwepo kwa ushindani mkubwa wa beti mtandaoni na ongezeko la makampuni feki yanayo tapeli watu mtandaoni kubeti kawaida kupitia kwa Mawakala. Ongezeko la changamoto ya utapeli imepelekea Makampuni ya michezo ya kubashiri kubadilisha mara kwa mara mwongozo wa aina tofauti za kubashiri mpira ambazo unaweza kuchagua kutokana na jinsi mchezaji atakavyoona kuna unafuu wa kupata matokeo katika bashiri, changamoto nyingine ya kubeti mtandaoni ni kusoma na kuelewa dondoo zinazo wajuza na kuwapa majibu ya ipi ni njia salama ya kubeti mtandaoni.

Changamoto za kubeti mtandaoni

  1. Japo kubeti mtandaoni na kubeti kawaida kupitia kwa Mawakala kote kuna unafuu na ni sahihi kwa mchezaji kubeti lakini tunapo zungumzia kwenda na bando ni changamoto inayoweza kukufanya ukashindwa kupata matokeo sahihi ya ubashiri, unaweza kuwa katika bashri gafla bando linakata, na wewe  na wakati huo huo mfukoni unakuwa huna pesa, kwa mazingira hayo ni lazima hukose matokeo.
  2. Changamoto nyingine kubeti mtandaoni kuna kufanya utumie muda mwingi na wakati mwingine chaji inaweza kuisha kwania tunafahamu simu za smati ni chache mno zinazotunza chaja, na hili ubeti mtandaoni lazima uwe na simu ya smati ili ubeti mtandaoni lazima upakue app ya kampuni husika unayo pendelea kubetia.

Pia kubeti mtandaoni kunakiuka sheria na katazo la kutowaruhusu wa watoto wa lio chini ya miaka kumi na nane kubashiri, unapo beti mtandaoni hakuna anaye kuona na kukudhibitisha kuwa umekizi vigezo vya kubashri. Wakati mwingi unaweza kuwa umeshinda lakini kupata pesa yako ikachukua hata siku mbili ndio unapata pesa kubadilika kwa odds pia kunaweza kuwa changamoto. Pia kubeti mtandaoni kunaleta hali ya ubaguni wa kiuchumi kwani wanao beti mtandaoni asilimia kubwa ni wenye uchumi wa mzuri na dau lao ni kubwa ukilinganisha na wanao beti kawaida kupitia kwa Mawakala.

 PariMatch Tanzania

Washirika wakuu

WinPrincess
Best Bonus In Tanzania Bonasi ya ukaribisho

150% BONASI!

Premier Bet
Best Value Bonasi ya ukaribisho

Win Up To 250% Extra In CASH!

PariMatch
Best New Bookmaker 2021 Bonasi ya ukaribisho

PATA BONASI YA KIPEKEE YA
100% PINDI UNAPOWEKA PESA
KWA MARA YA KWANZA

22Bet
Bonasi ya ukaribisho

Get a 100% bonus up to TSZ 300 000

Meridian Bet
Bonasi ya ukaribisho

Rudisha Sehemu Ya Tiketi Iliyoshindwa!

Makala zinazohusiana

Comments

No comments yet

Leave a comment

Thank you!

Thank you for your comment!

It will be published after being moderated