Menyu

JE! BONASI NA PROMOSHENI MBALIMBALI HUVUTIA WATEJA WA KUBETI KWA WINGI.

| 12.02.2021
JE! BONASI NA PROMOSHENI MBALIMBALI HUVUTIA WATEJA WA KUBETI KWA WINGI.

JE! BONASI NA PROMOSHENI MBALIMBALI HUVUTIA WATEJA WA KUBETI KWA WINGI.

Bonasi na promosheni mbalimbali huvutia wateja kubeti kwa wingi ambapo kubashiri kunaweza kujipatia ushindi kwa kuona mchezo unachezwa na kupatiwa faida. Walio wengi hupendelea promosheni na bonasi kwa kuwa ukibashiri mara nyingi zaidi hupewa nafasi kubwa zaidi ya kuendelea na kuhakikisha zaidi na unapata tiketi za bure na kuendelea kushiriki mchezo wa kubeti kwa nia ya kujipatia fedha na ieleweke kuwa mchezo wa kubahatisha au kubashiri umeweza kuwakomboa watu wengi hususani vijana kuweza kujikwamua na masuala ya kiuchumi na maisha kwa ujumla napengine kuwasomesha ndugu zao ama jamaa zao wa karibu kutokana na bonasi za mchezo wa beti.

PariMatch Bonasi na promosheni

Katika kipengele cha bonasi na promosheni huwa ni kimbilio la wachezaji wengi kujua kanuni za michezo ya kubashiri. Tuelewe kwamba ili tuweze kushinda inahitajika bidii na maarifa ya kutosha, kujipambanunua na kuamini mbinu mbali mbali zinazo tumika kujipatia ushindi na kuweka mpango mkakati yenye kusaidia kufikia malengo ya kushinda. Msukumo wa moyo na utendaji wa viungo ndio vina weza kuwa sababu ya mchezaji kupata ushindi au kupelekea ushindi kwa kutumia promosheni ama bonasi hivi ndio makampuni huwafanya watu wengi kujitokeza kubashiri na kusubili bahati zao.

Pia promosheni na bonasi huongeza ile haiba wa wachezaji kucheza kwa wingi na kiwango kidogo cha fedha kwani mara nyingi bonasi uambatana na punguzo la bei ,kiwango cha mchezo au kiwango cha mechi zinazo chezwa huenda zimepungua, au zimeongezeka. Inaweza ikawa Kampuni imetoa promosheni ya kucheza bure au kwa mchezaji atakaye shinda kuna kiwango cha fedha uongezewa kama bonasi.

Vitu kama hivyo ndio ufanya watu kuvutiwa na michezo ya kubashiri wakati mwingine kampuni inaweza kulegeza masharti ya michezo kwa wateja wake pia hiyo nayo inaweza kuwa sababu ya watu kuvutiwa na michezo hii ya kubashiri. Kuwepo kwa ongezeko la Makampuni ya kubeti pia kumefanya kuwepo kwa urahisi kwa wachezaji kuweza kupata matokeo ya ushindi mara kwa mara kutokana na bonasi zinatolewa katika Makampuni ya beti.

Meridiani Bet Tanzania bonasi na promosheni

Uimara wa Makampuni kutaka kuendelea kuwepo na ubora ule ule katika soko la kubashiri ndio kumeleta haueni kwa wachezaji kushinda na kujinyakulia vitita, kupitia bonasi na promosheni zinazo tekelezwa na makampuni kwa wingi ili yaendelee kuwa vinara katika michezo ya kubashiri, ushindani huo ndio unatengeneza na kuzifanya Kampuni kuingia kwenye soko la ushindani kwa kila kampuni kuanza kutoa bonasi zitakazo wavutia wacheji kwa wingi.

Promosheni pia husaidia ukuaji wa Kampuni kwa kuzitambulisha katika jamiii na kuwatambulisha vema kwa wadau wao, ili waweze kupata kile wanacho stahili kukipata pindi watakapo beti.

 PariMatch Tanzania

Washirika wakuu

WinPrincess
Best Bonus In Tanzania Bonasi ya ukaribisho

150% BONASI!

Premier Bet
Best Value Bonasi ya ukaribisho

Win Up To 250% Extra In CASH!

PariMatch
Best New Bookmaker 2021 Bonasi ya ukaribisho

PATA BONASI YA KIPEKEE YA
100% PINDI UNAPOWEKA PESA
KWA MARA YA KWANZA

22Bet
Bonasi ya ukaribisho

Get a 100% bonus up to TSZ 300 000

Meridian Bet
Bonasi ya ukaribisho

Rudisha Sehemu Ya Tiketi Iliyoshindwa!

Makala zinazohusiana

Comments

No comments yet

Leave a comment

Thank you!

Thank you for your comment!

It will be published after being moderated