Menyu

JINSI GANI ZA KUTUMIA DONDOO ZA UTABIRI MTANDAONI?

| 16.02.2021
JINSI GANI ZA KUTUMIA DONDOO ZA UTABIRI MTANDAONI?

JINSI GANI ZA KUTUMIA DONDOO ZA UTABIRI MTANDAONI?

Jinsi ya kutumia dondoo za utabiri mtandaoni ili kushinda mkeka wako, cha kwanza unachokihitaji ni kuelewa kanuni za alama za kubashiri. Watu wengi wamekuwa wakijiingiza katika michezo ya kubeti pasipo kufahamu namna gani sahihi ya kubeti, hali iliyopelekea makampuni mengi ya kubeti kuandaa watu ili kutoa maelekezo ya namna gani unaweza kubashiri na kuibuka mshindi.

Dondoo za utabiri ni muhimu sana kwa mchezaji kuzifuatilia kwa ukaribu endapo kama unataka matokeo ya ushindi kupitia dondoo mchezaji anaweza kufahamu jinsi gani biashara ya ubashiri inavyo kwenda, utatambua kufanya uchaguzi wa Kampuni bora ya kubashiri utakayo kuwa tayari kuitumia. Ukiondoa bahati vidokezo na mbinu za mchezaji dondoo pia zinaweza kukupa matokeo.

Hawakuishia hapo makampuni mengi ya beti yaliandaa mafunzo kupitia tovuti zao, unatakiwa kufahamu vidokezo ukiondoa watu wenye bahati ya kushinda pindi wanapo beti lazima uelewe kuwa vidokezo ni mbinu nyingi ambazo ukizifahamu na kuzielewa kwa kiwango kikubwa zinaweza kukusaidia  kuongeza nyenzo ya ushindi na kujiongezea kipato.

Tanzania Tips

Ni vyema kwa mchezaji kutokupuuzia dondoo za utabiri zinazo tolewa na Kampuni kabla la kubeti, dondoo za utabiri hutoa mafundisho ya namna gani ni sahihi ya kupangia mkeka wako ili ushinde na usiuchane kwa kutoa code, tarehe ya mchezo na muda wa mchezo utakao chezwa, pia dondoo za utabiri zinaweza kutumika pale unapoangalia vidokezo na alama za mchezo nani yupo nyumbani na nani yupo ugenini na kabla ya hizo timu kukutana nani ameshinda mara nyingi kuliko mwenzani.

Unapo beti lazima uwe na uelewa wa kutosha na kufahamu mambo muhimu yatakayo kuongezea ufundi na utaalamu wakutosha juu ya mchezo wa kubashiri na moja ya mambo hayo ni wachezaji wanapaswa kuelewa vizuri vidokezo vya kubeti, hapo watakuwa wameepuka majanga ya kuchana mkeka na kila mara atakuwa anapata matokeo kwa sababu tu anazingatia vidokezo na dondoo zinazo tolewa na kampuni husika.

Ushindi unaweza kuwawezesha wachezaji wa kubeti kuweza kushinda angalau kuangalia mchezo baina ya mechi mbili namna ya uchezaji, mipango ya kupata ushindi kipindi ambacho timu hizo mbili zinachuana, mchezaji anatakiwa kuwa makini anapokuwa anaangalia dondoo za mechi zilizotolewa kwenye tovuti ili kuhakikisha utabili wake alio ukusudia pamoja na mipango yake inatakiwa kwenda vizuri.

 PariMatch Tanzania

Washirika wakuu

WinPrincess
Best Bonus In Tanzania Bonasi ya ukaribisho

150% BONASI!

Premier Bet
Best Value Bonasi ya ukaribisho

Win Up To 250% Extra In CASH!

PariMatch
Best New Bookmaker 2021 Bonasi ya ukaribisho

PATA BONASI YA KIPEKEE YA
100% PINDI UNAPOWEKA PESA
KWA MARA YA KWANZA

22Bet
Bonasi ya ukaribisho

Get a 100% bonus up to TSZ 300 000

Meridian Bet
Bonasi ya ukaribisho

Rudisha Sehemu Ya Tiketi Iliyoshindwa!

Makala zinazohusiana

Comments

No comments yet

Leave a comment

Thank you!

Thank you for your comment!

It will be published after being moderated