Menyu

Tips of the Day 17.02.2021 (Sevilla vs Borussia Dortmund)

| 16.02.2021
Tips of the Day 17.02.2021 (Sevilla vs Borussia Dortmund)

Sevilla vs Borussia Dortmund

  • Siku ya Jumatano jioni kwenye Uwanja wa Ramon Sanchez Pizjuan, Sevilla watawakaribisha Borussia Dortmund katika hatua yao ya mtoano ya Ligi ya Mabingwa (UEFA). Ubora wa timu ya nyumbani hufikia 48%, dhidi ya BVB hufikia 52% kwa kulinganisha. Ni miaka 10 imepita tangu timu hizi mbili zilipocheza head-to-head kwenye michuano ya EUROPA league.
  • Sevilla iko katika nafasi ya 4 na alama 45 huko Laliga wakati huo huo BVB iko katika nafasi ya 6 na alama 33 kwenye ligi ya Bundesliga. Borussia Dortmund wanapata matokeo kwa shida msimu huu kabla ya meneja wao wa zamani mpaka kupeleka kumfuta kazi, hawana msimamo katika matokeo ya ushindi uendelevu huku Sevilla ikiwa katika hali bora na mafanikio kwa ushindi wa mechi mfululizo hivi karibuni katika ligi.
  • Katika mechi tano za mwisho zilizochezwa kwenye ligi zao kwa timu zote mbili, Sevilla walishinda michezo yote mitano (bila kufungwa); wakati huo huo, BVB ilishinda michezo 2, ikapoteza michezo 2 na mchezo 1 kuishia kwa sare.
  • Ushauri wetu ni Borrusia Dortmund kushinda au mechi kuisha kwa sare.

Kwa takwimu zaidi kuhusu mechi hii, dondoo na vidokezo mbalimbali, odds na utabiri wa bure kabisa bofya https://tanzaniatips.com/predictions/id1387-Sevilla-vs-Borussia-Dortmund-17-02-2021

Washirika wakuu

WinPrincess
Best Bonus In Tanzania Bonasi ya ukaribisho

150% BONASI!

Premier Bet
Best Value Bonasi ya ukaribisho

Win Up To 250% Extra In CASH!

PariMatch
Best New Bookmaker 2021 Bonasi ya ukaribisho

PATA BONASI YA KIPEKEE YA
100% PINDI UNAPOWEKA PESA
KWA MARA YA KWANZA

22Bet
Bonasi ya ukaribisho

Get a 100% bonus up to TSZ 300 000

Meridian Bet
Bonasi ya ukaribisho

Rudisha Sehemu Ya Tiketi Iliyoshindwa!

Makala zinazohusiana

Comments

No comments yet

Leave a comment

Thank you!

Thank you for your comment!

It will be published after being moderated