Menyu

NI JINSI GANI TOVUTI ZA DONDOO ZA UTABIRI KUONGEZA KIWANGO CHA KUSHINDA KWA SASA.

| 15.02.2021
NI JINSI GANI TOVUTI ZA DONDOO ZA UTABIRI KUONGEZA KIWANGO CHA KUSHINDA KWA SASA.

NI JINSI GANI TOVUTI ZA DONDOO ZA UTABIRI KUONGEZA KIWANGO CHA KUSHINDA KWA SASA.

Kwa kutumia dondoo za tovuti zinakupa uwezo wa kufahamu masharti na vigezo kabla ya kuanza kubeti. Unaweza ukawa una wazo zuri lakini namna ya kulitekeleza likawa ni changamoto kwako, kwa mfano huu Makampuni mengi yaliona kuanzisha tovuti zinazotoa dondoo kwa wateja wao kutawafanya wapate idadi kubwa ya wachezaji na dondoo hizo zitawarahisishia wachezaji kupata matokeo na wao kupata wadau wengi zaidi.

Kuwepo kwa tovuti za Makampuni husika za beti zimekuwa zikitoa mwanga au unafuu na haueni kwa wachezaji kuweza kupata matokeo ya ushindi na kujinyakulia ngawila. Dondoo za utabiri umfanya mchezaji kutambua mbinu zinazoweza kumfanya kushinda kirahisi zaidi tofauti na makampuni ya yasiyotoa dondoo za utabiri mtandaoni.

Tanzania Tips

Kampuni nyingi za kubashiri mtandaoni hupendelea kutoa aina tofauti za bonasi na dondoo kwa wachezaji wake na hii kawaida ufanywa ili kuhamasisha wapenzi wa michezo, haswa wachezaji wapya kwa wao kujaribu uzoefu wa kubahatisha bila kupoteza kiasi kikubwa. Pamoja na ushindani mwingi kati ya makampuni ya kubashiri mtandaoni karibu kila kampuni kwa mfano kuna baadhi ya makampuni utoa dondoo za utabiri kwa zaidi ya 100% ili kuvutia wateja wapya na kuweza kuwafanya wabaki kwenye tovuti.

Kwa mfano Makampuni mengi hutoa beti nyingi za bure zinazofanana, kwa kuweka beti zaidi kwenye hisa moja kama beti yako ya kwanza. Mfano mwingine ni ule wa beti na upate unaotumiwa na baadhi ya Makampuni, wakiwa na tafsiri ya kwamba weka beti na upate beti ya bure ya bei tofauti  kwa hisa halisi ya pesa, kawaida ya mara mbili ya hisa yako ya kwanza. Hapa wana maana ya kwamba beti za bure zitasaidia ikiwa utapoteza chaguo lako la beti, hapo basi sehemu ya hisa zako zitarudishwa kwa njia za beti za bure.

Ukiondoa bahati kuna dondoo na vidokezo vingi sana ambavyo kupitia tovuti za Makampuni mbalimbali zimeweza kusaidia watu kupata matokeo ya mikeka yao, tovuti zimeweza kuelekeza namna sahihi ya kubeti kabla na baada ya kubeti, baadhi ya dondoo ambazo makampuni mengi upenda kumpatia mchezaji ni pamoja na kumshauri mchezaji mbinu za kubeti, kwa kuangalia vidokezo muhimu kama vile kubeti katika kiwango kidogo cha fedha na mechi, kwani ukibeti kiwango kikubwa cha mechi kinapunguza uwezekano wa mchezaji kushinda.

Kuwepo kwa dondoo za tovuti kunampa mchezaji fursa za kutambua aina za beti nakumtengeneza mchezaji kuwa bingwa kupitia dondoo pia kunamfanya mchezaji kuwa na uelewa mzuri wa dhamira ya ubashiri matokeo, pia kuelewa jinsi gani biashara ya ubashiri wa matokeo inaendeshwaje.

 Pari Match Tanzania

Washirika wakuu

WinPrincess
Best Bonus In Tanzania Bonasi ya ukaribisho

150% BONASI!

Premier Bet
Best Value Bonasi ya ukaribisho

Win Up To 250% Extra In CASH!

PariMatch
Best New Bookmaker 2021 Bonasi ya ukaribisho

PATA BONASI YA KIPEKEE YA
100% PINDI UNAPOWEKA PESA
KWA MARA YA KWANZA

22Bet
Bonasi ya ukaribisho

Get a 100% bonus up to TSZ 300 000

Meridian Bet
Bonasi ya ukaribisho

Rudisha Sehemu Ya Tiketi Iliyoshindwa!

Makala zinazohusiana

Comments

No comments yet

Leave a comment

Thank you!

Thank you for your comment!

It will be published after being moderated