Menyu

Tips of the week 14.02.2021 (West Brom vs Manchester United)

| 12.02.2021
Tips of the week 14.02.2021 (West Brom vs Manchester United)

West Brom vs Manchester United

  • West brom wanawakaribisha mashetani wekundu jumapili hii katika dimba la “The Hawthorns” saa 11:00 jioni. Man U wamekua katika kiwango bora kabisa hivi karibuni inakadiriwa kuwa na 67% dhidi ya wenyeji wao wakiwa na 33%. West Brom wanshika nafasi ya 19 katika msimamo wa ligi huku Man U wakiwa nafasi ya 2 na points 45.

  • Katika mechi 5 za head-to-head walizokutana baina ya timu hizi kwenye misimu 4 iliyopita West Brom wameshinda mechi 1, Man U wamshinda mechi 3 na mechi 1 iliisha kwa sare. West Brom wanakibarua kizito kutumia uwanja wao wa nyumbani vizuri kupata matokeo dhidi ya mashetani wekundu yenye Bruno Fernandes ndani yake.

  • West Brom wamekua na msimu mbaya baada ya kuanza vibaya katika ligi na kwenye mechi tano za hivi karibuni walizocheza wamepoteza mechi 4 na kupata sare 1 huku Man u wakishinda mechi 2, wamepoteza 1 na mechi 2 ziliisha kwa sare. Haitakua mechi yenye ushindani mkubwa sana ila tunaamini yatapatikana magoli zaidi ya 1.5 ndani ya dk 90. 

Kwa takwimu zaidi kuhusu mechi hii, dondoo na vidokezo mbalimbali, odds na utabiri wa bure kabisa bofya https://tanzaniatips.com/predictions/id1285-West-Brom-vs-Manchester-United-14-02-2021

PariMatch Tanzania

Washirika wakuu

WinPrincess
Best Bonus In Tanzania Bonasi ya ukaribisho

150% BONASI!

Premier Bet
Best Value Bonasi ya ukaribisho

Win Up To 250% Extra In CASH!

PariMatch
Best New Bookmaker 2021 Bonasi ya ukaribisho

PATA BONASI YA KIPEKEE YA
100% PINDI UNAPOWEKA PESA
KWA MARA YA KWANZA

22Bet
Bonasi ya ukaribisho

Get a 100% bonus up to TSZ 300 000

Meridian Bet
Bonasi ya ukaribisho

Rudisha Sehemu Ya Tiketi Iliyoshindwa!

Makala zinazohusiana

Comments

No comments yet

Leave a comment

Thank you!

Thank you for your comment!

It will be published after being moderated