Menyu

JE! NI VIGEZO GANI VYA KUTAMBUA AU KUZINGATIA KAMPUNI BORA YA KUBETI?

| 11.02.2021
JE! NI VIGEZO GANI VYA KUTAMBUA AU KUZINGATIA KAMPUNI BORA YA KUBETI?

JE! NI VIGEZO GANI VYA KUTAMBUA AU KUZINGATIA KAMPUNI BORA YA KUBETI?

Kuna vigezo vingi vya Kuchagua tovuti sahihi ya kubashiri michezo na hii ni uamuzi muhimu sana kwa mchezaji, Kuna tovuti nyingi za kubashiri unazoweza kuchagua lakini kupata inayofaa inaweza kuwa changamoto kwa sababu inaathiri shughuli zako za kubashiri kwa njia tofauti. Tunakushauri sana ufanye utafiti wako kabla ya kuanza safari yako ya kubashiri.

Vitu muhimu ambavyo unaweza  kuvitambua ni ubora wa kampuni unayotaka kuanza kubetia, na utatambuaje kama kampuni unayotaka kutumia kubetia ni  bora, kuna mambo machache mchezaji anapaswa kuyatazama nayo ni  kutazama au kulinganisha odds za kubashiri kabla ya kuweka beti yako. Odds huwa zinatofautiana kulingana na makampuni tofauti, lakini mara nyingi zinafanana kidogo, ni muhimu pia kuangalia ni odds gani zinatolewa na makampuni mengine ili kupata utofauti.  Baada ya kupata odds nzuri inayofikia thamani yako, unaweza kuanza kubashiri moja kwa moja. 

Kampuni bora ni ile yenye kuwaelekeza wachezaji namna ya kupata ushindi katika mchezo wa betini, pia ubora wa Kampuni ni pale kwenye kutoa taarifa nyingi za ushindi kufuatia michezo mbalimbali ya bahati nasibu inayochezwa kila siku. Hata hivyo kutolewa taarifa za ushindi bila ubaguzi wowote kwa manufaa ya wachezaji, walicheza kwa kigezo cha kulipia gharama na kuzingatia umri wa kucheza.

Kampuni bora ya kushari nayo

Kubeti michezo hasa mchezo wa mpira wa miguu huwa na masoko mengi sana. Kuchagua masoko bora ya kubashiri kwenye mchezo wa mpira wa miguu kunahitajika  mafunzo ya kila siku na kuongeza ufahamu wa masoko, inaweza kukuongezea nafasi ya kushida. Ni muhimu pia kujaribu masoko tofauti tofauti kutoka kwenye makampuni mengine ili uweze kujifunza kwa kutumia kila soko na kuwa  mbashiri bora wa mchezo wa mpira wa miguu.

Kulinganisha bonasi kwa mchezaji kunaweza kuwa njia mojawapo ya mchezaji kupata matokeo ya ushindi, kwani kufanya hivyo mchezaji anaweza kujua ipi kampuni bora na inayoweza kumpa mchezaji ushindi. Kwa kufanya hivyo mchezaji anaweza kutambua bonasi maarufu katika michezo ya kubashiri na mara nyingi bonasi nyingi na za kuvutia utolewa na makampuni kwa ajili ya kuvutia wachezaji.

Kampuni bora ni ile inayowajari wateja wake kabla na baada ya kucheza, kuwa  na odds zinazo vutia wachezaji na kuwapa unafuu wa kushinda beti zao, kwa mfano  makampuni yaliyo mengi kwa kawaida utoa 100% au 50% kwa ajili ya watumiaji na baada ya kusajili akaunti yake, Makampuni yaliyo mengi utoa bonasi za beti bure, pesa taslimu, na zingine.

PariMatch Bonasi

Kulinganisha bonasi kwenye kuchagua makampuni ya beti ndipo mchezaji anaweza kuona ni kampuni ipi kwake ni bora kwa kubetia, kwa maana kwamba ubora wa kampuni ya kubeti unategemea na mchezaji mwenyewe kulingana nay eye atakavyoona unafuu wa alama za timu zilizo wekwa na kampuni alilo lichagua. Ukijulisha alama, vidokezo vinavyo tolewa na makampuni, bonasi na promosheni zinazotolewa ndizo zinazo mfanya mchezaji kuona wapi ni mahala sahii, kubashiri mchezo wa mpira wa miguu itakufanya utumie fedha kidogo na kuwa na uzoefu mpana wa kubashiri kwa kutumia bonasi za bure zinazotolewa na tovuti. 

 PariMatch Tanzania

Washirika wakuu

WinPrincess
Best Bonus In Tanzania Bonasi ya ukaribisho

150% BONASI!

Premier Bet
Best Value Bonasi ya ukaribisho

Win Up To 250% Extra In CASH!

PariMatch
Best New Bookmaker 2021 Bonasi ya ukaribisho

PATA BONASI YA KIPEKEE YA
100% PINDI UNAPOWEKA PESA
KWA MARA YA KWANZA

22Bet
Bonasi ya ukaribisho

Get a 100% bonus up to TSZ 300 000

Meridian Bet
Bonasi ya ukaribisho

Rudisha Sehemu Ya Tiketi Iliyoshindwa!

Makala zinazohusiana

Comments

No comments yet

Leave a comment

Thank you!

Thank you for your comment!

It will be published after being moderated