Menyu

FAHAMU MICHEZO MBALIMBALI INAYOBETIWA MTANDAONI.

| 10.02.2021
FAHAMU MICHEZO MBALIMBALI INAYOBETIWA MTANDAONI.

FAHAMU MICHEZO MBALIMBALI INAYOBETIWA MTANDAONI.

Kuna michezo mbali mbali duniani ambayo inaweza kutumika kwenye beti au kubashiri matokeo na michezo yote utumia mtandao kumrahisishia mchezaji wa betini kubeti akiwa huru kabisa, kuna aina nyingi sana ya michezo ya kubashiri ambayo ubadilika na kuendeshwa kulingana na mabadiliko ya Sayansi na teknolojia, Huenda ukuaji wa sayansi na teknolojia ukawa ni ngumu kwa baadhi wa watu na ikawa ni rahisi kwa wengine. Ninacho weza sema usiwe na shaka miongoni mwa malengo ya makampuni ya michezo ya kubashiri nchini, ni kukutengenezea wewe mdau wa michezo ya kubashiri uzoefu wa hali ya juu bila ya kuwa na usumbufu wa aina yoyote pindi unapotaka kubeti.

Michezo mingi sana ulimwenguni kwasasa inatumika kwenye bashiri ziwe na mtandaoni au kupitia mawakala, Leo tuangalie baadhi ya michezo mbalimbali inayobetiwa mtandaoni.

Soka(mpira wa miguu) ni mchezo maarufu na pendwa sana duniani na kwa takwimu chache ndio mchezo unaopendwa na kutazamwa na watu wengi kuliko mchezo mwingine wowote ule, ni mchezo wa kutumia nguvu na wenye vitendo vingi vinavyo fanyika uwanjani, hii ni moja ya sababu inayofanya kubeti  mpira wa  miguu mtandaoni kunasisimua sana kuliko kwenda kwa mawakala. Ni mchezo ambao hutoa fursa zisizohesabika kwa wale wanao jaribu bahati yao kwa kubashiri nani atashinda, magori mangapi yatafungwa, kuna yoyote atapata kadi nyekundu na kadharika.

kubeti mpira wa miguu au soka

Pia makampuni mengi ya kubashiri mtandaoni utoa aina nyingi za beti kwa ajili ya mechi mbalimbali za mpira wa miguu kila siku, kwenye mechi bora, inawezekana kiuhalisia kukawa na mamia ya machaguo ya kubeti, hakika kubashiri mtandaoni hufanya kubeti kwako soka kuhamasika zaidi na machaguo ya mechi na timu bora.

Mchezo mwingine ambao ni rahisi kubeti mtandaoni ni Basketball, ni mchezo wenye option rahisi sana ambazo mtu kuliwa si rahisi kama kwenye mpira wa miguu. Tofauti na mpira miguu kwenye basketball hatubeti eti timu flani ishinde na timu flani isishinde, kwa kuwa kwenye basketball mtu yoyote anaweza kushinda na pointi za normal ni ndogo sana, ukilinganisha na zile za mpira wa miguuu.

Jinsi ya kueti basket ball

Tenisi ni mchezo mwingine ambao unaweza kutumia mtandao kubet na odds zake ni za tofauti sana na mpira wa miguu pamoja na basketball, na pia ni mchezo wenye aina nyingi zinazokupa option za kutoka wakati wa kubeti.

Jinsi ya kubeti tenis na kushinda

Ili kupata uzoefu na kukuza uelewa makampuni wameifanya mitandao yao kuwa rahisi sana kufikika kwa watumiaji wa kompyuta na hata kwenye  simu za mikononi ili kuweza kubeti, pia wamerahisisha kwa wadau wa michezo ya kubashiri kuweka mikeka yao moja kwa moja kwenye tovuti zao, hata hivyo endapo unahitaji kubeti mchezo wowote ule unaweza kutumia mtandao kwa kampuni husika .

 Parimatch Tanzania

Washirika wakuu

WinPrincess
Best Bonus In Tanzania Bonasi ya ukaribisho

150% BONASI!

Premier Bet
Best Value Bonasi ya ukaribisho

Win Up To 250% Extra In CASH!

PariMatch
Best New Bookmaker 2021 Bonasi ya ukaribisho

PATA BONASI YA KIPEKEE YA
100% PINDI UNAPOWEKA PESA
KWA MARA YA KWANZA

22Bet
Bonasi ya ukaribisho

Get a 100% bonus up to TSZ 300 000

Meridian Bet
Bonasi ya ukaribisho

Rudisha Sehemu Ya Tiketi Iliyoshindwa!

Makala zinazohusiana

Comments

No comments yet

Leave a comment

Thank you!

Thank you for your comment!

It will be published after being moderated